WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Kuna haja ya kusafirisha mkaa kwa ndege kwa wingi....gesi imeingia luba.... charminglady.....naomba nisiseme kwa sasa.....

Na mimi nafunga mdomo hapo
Hebu ita kwa sauti Lady doctor asikie kuwa umerudi

jamaa wa kimakonde alikuwa anajipakulia bana... Ila Aman alibaniwa ndo maana akatafuta mbinu ya kumkomoa!!!!!!

Kweli alimkomoa na hakuna kitu kibaya kama kuachwa solemba na mchumba na inawezekana Amani hakuwa hata na wazo la kuoa ila may be kuna kitu alikikuta hakiko sawa
Kuna sehem mwanaume hata kama hakuwa na wazo la kuoa ila akikutana na dada mwenye viwango tarajiwa na ambaye anajua thamani ya love na anajua namna ya kumhandle mwanaume anaweza jikuta hata lile wazo la kusema muda wa kuoa bado linawekwa kando anaamua kuzama mazima
 
Last edited by a moderator:
ukiona kaenda hadi kwenu, na kalamba halafu kaacha ujue kapiga hesabu 1+1=11 !!!! atasamehe hata kama katoa mahali... yaani kakuta tofauti na aliyoyategemea..... Mma kibaaao sasa itakuwaje?

Ha ha ha ha......uenda ikawa hivyo.Ingawa wengi wanaofanyiwa michezo hii ni wasichana ambao wanajifanya wapo makini au hawadanganyiki au wapo juu sana.Kama anakomolewa,mtu yu heri atumie rasilimal alizonazo akung'oe alafu anakubwaga mchana kweupe.Yeye anabaki anajisifia sasa!!!!!!
 
Ndo maana yake muheshimiwa grafani11.....hawakawii hao.Shida ya mtu,mlo wa mtu!!!!!!
Papuchi hii mbona ina majina mengi hivi, wengine wanaiita mfereji maringo, wengine halua (haina makombo), parachichi (avocador), tunda la katikati, Apple. Majina mengine nawaachia wataalamu watajazia.

cc: mwekundu, na wataalamu wenzake.
 
Papuchi hii mbona ina majina mengi hivi, wengine wanaiita mfereji maringo, wengine halua (haina makombo), parachichi (avocador), tunda la katikati, Apple. Majina mengine nawaachia wataalamu watajazia.

cc: mwekundu, na wataalamu wenzake.

Njengo sio papuchi.....
 
Acheni tabia za kufuatilia maisha ya watu wengine. Hayawahusu.
 

Mpelekee irene mwamfupe ndauka atakushukuru sana
 
Hizi hadithi ni deal kwenye magazeti pendwa, wewe unazitoa hapa bila malipo !!! Tumia kipaji chako, usikikalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…