WANAUME: Nimewainulia mikono!!

nashukuru kwa mchango wako mkuu... Nitajitahidi kusaka hiyo novel!!!! :clap_2:
 
besti nimependa sana hadithi yako imenipa fundisho na somo pia hasa sisi wadada tuwe amakini na hawa makaka uchwara jamani ila hujamalizia unataka kuwa kama akina Mtambuzi wasiomalizia mada zao
 
Last edited by a moderator:

Hili siyo fundisho kwa mtu yeyote isipokuwa ni ujinga, hata wewe uliyeleta thread hii kwa kudhani kuwa kuna fundisho hapa, wewe pia ni mjinga sana!
 
Hili siyo fundisho kwa mtu yeyote isipokuwa ni ujinga, hata wewe uliyeleta thread hii kwa kudhani kuwa kuna fundisho hapa, wewe pia ni mjinga sana!

Ni kweli mkuu, nakubali ila ipo siku ujinga utanitoka. Nashukuru kwa kuwa sio --------!
 
Bora ushukuru best kwani wengine hawajaelewa kwanini umetoa post hiyo
kwangu imenigusa sana tena sana na nimeifurahia toa post ingine zaidi ya hiyo
ni kweli mkuu, nakubali ila ipo siku ujinga utanitoka. Nashukuru kwa kuwa sio --------!
 
Bora ushukuru best kwani wengine hawajaelewa kwanini umetoa post hiyo
kwangu imenigusa sana tena sana na nimeifurahia toa post ingine zaidi ya hiyo

Usijali mamie... Nilifundwa nikafundika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…