Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?

Sema mwanaume wako, hiyo laana usiwabebeshe wengine
 
Kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba do not trust anything with a d1ck
Nafikiri hukuhudhuria hicho kikao that manzi

Nwei...pole
Sisi naona mwanachama alisikiliza na kufanyia kazi ajenda za kikao chetu wanaume.Moja ya ajenda ni ukiona mwanamke anapenda hela sana piga tembeee na tumia uongo wote ili tu ujilie utam usepe sasa tiyari mwamba kaacha kilio
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Umeliwa kimasihara nini? Chezea wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom