Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

Mkuu kwa maelezo yako ni kwamba we bado mdogo maana mawazo yako hayajakomaa, unawaza kumdaditisha demu kupitia getho?

Kuna mdau kakushauri utafte hela kwanza si kwamba amekosea ameona akili yako bado.

Mwanamke anayekupenda atakuja tu kwako regardless getho likoje au unaishije.

Pole.
 
Yaani anajionyesha jinsi alivyo bonge la fala na pimbi wa kutupwa...
kisamehe tu hicho KIAZI kikuu cha Taifa ila najua amefollow thread ila hatak aonekane amefollow kwa sababu kama post haikusaidii unacoment ya nin sasa
 
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa

Mi nina :
1.Feni,Gesi,chumba kina Kapeti pia kuna smell good
2:Nina kafriji(hakagandishi ila ntakatengeneza)
3:sina TV ila nina Projector 100 inch ukutani na Azam tamthilia na movie hazikosekan
4:pc games za kutosha
5:Chakula cha kutosha pia(nafaka)

NB:Gari sina ila majaaliwa

[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]
Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba
twambie kwa uzoefu wako
Funguka
Kuna ile michoro sikuhizi wanaspray na zile spray za magari wanaspray kwenye magheto gheto linapendeza kinyama yani nikikuta gheto limesprayiwa michoro ya rangi ukutani hua ninapagawa kabisa nakuwa mwehu yan kama nimepigwa shoti
Na pia nikikuta mashuka masafii , duvet na kunanukia mwee naeza toa kama yotee pia kuna ile mishuma yenye harufu ile inauzwa moja elfu 10 inakua na harufu tofauti nikikuta imewashwa maghetoni gheto linanukia hua nachanganyikiwa mwee hapo sasa iwake afu mkiwa mezima taa uku mnaangalia romantic movie kama ile mr and mrs mweee ni hatari sana wakaka mjiongeze bye
 
Viwepo vitu vya kumfanya akiselfie aweze kupost insta na status whatsapp.

Hiyo ni kwa slay queens.

Kwa hizi kazi za kienyeji hakikisha una godoro na sub woofer
 
Kwamba feni, gas na chakula unahesabia km asset za ghetto duh mkubwa akili yako bado haija mature .... Tafuta Sana hela arifu..
hela nnazo dogo tena
Kwamba feni, gas na chakula unahesabia km asset za ghetto duh mkubwa akili yako bado haija mature .... Tafuta Sana hela arifu..
msikie zwazwa mwingine huyu kwan kuna mahali nmeandika sina hela alaf kwa akil yako ulichojib kinaendana na mada hapo juu? mada inahitaji suggestion(mapendekezo)sas wew unaniambia ntafute hela we sema tu umefollow thread.
 
Kuna ile michoro sikuhizi wanaspray na zile spray za magari wanaspray kwenye magheto gheto linapendeza kinyama yani nikikuta gheto limesprayiwa michoro ya rangi ukutani hua ninapagawa kabisa nakuwa mwehu yan kama nimepigwa shoti
Na pia nikikuta mashuka masafii , duvet na kunanukia mwee naeza toa kama yotee pia kuna ile mishuma yenye harufu ile inauzwa moja elfu 10 inakua na harufu tofauti nikikuta imewashwa maghetoni gheto linanukia hua nachanganyikiwa mwee hapo sasa iwake afu mkiwa mezima taa uku mnaangalia romantic movie kama ile mr and mrs mweee ni hatari sana wakaka mjiongeze bye
Shukrani
 
hela nnazo dogo tena

msikie zwazwa mwingine huyu kwan kuna mahali nmeandika sina hela alaf kwa akil yako ulichojib kinaendana na mada hapo juu? mada inahitaji suggestion(mapendekezo)sas wew unaniambia ntafute hela we sema tu umefollow thread.
Sasa kweli gas ,feni na chakula ni asset ... we utakua unakaa Uswahilini ... Hela huna ww ... Acha maneno mengi ..tafuta hela
 
Back
Top Bottom