Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

Gheto liwe kubwa spacious,kuwe na flat kubwa ya Tcl na dstv au azam,kabati la mbeo,dressing table uweke na vitu vya kike vingi, feni panga boy, picha za ukutani za frema iwemo na ya uyo unaemlenga, jiko la gesi zuri, music systeam, ka kampyuta, brenda,
Liwe safiiii taa za kudizain flani, ma airfreshi n.k kitanda kama cha hotel hiv sita kwa sita
lazima adate
 
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)

Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"

Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabis

[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]

Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba

Tuambie kwa uzoefu wako

Funguka

Ukiwa na gari ghetto ataona ni utopolo tu kwa kifupi bado utakuwa under 20
 
Akamtolee mahari ili amuoe. Ili wasizini.

Mwanamke kuolewa ni kama kupata ajira. Kila kitu kimhusucho atambwagia mumewe. Plus status ya kuwa kaolewa.
Sio kuogopa dhambi.

Kabla ya kuolewa alikuwa anaumiza kichwa kuanzia kichwani(kama ni rasta) mpaka avaacho mguuni. Anaposema "nioe ili tusizini" ni mbinu tu
Hivi Wewe unadhani kwetu Mimi nakosa hela ya Rasta...ya vocha..chips kuku...Sehemu nzuri ya kulala...Tena hata KAZi sifanyi nyingi....Yaaani maisha Swafi kabisa..

Lengo la kuolewa Ni kuanzisha familia yako ..Wewe na mwenzako muwe kitu kimoja..

Lengo la kuolewa Sio kubadili style ya nywele na eti unaenda kubadilisha mboga..
Labda Kama Dada zako unataka waolewe ili waache kusuka yebo...wavae mawigi ya malaki

Kwasababu huyo mwanaume anaweza Seema unyoe nywele...zimamkera.
 
Huyo ni wewe,outlier. Kiasilimia mko wangapi akina nyie?
 
Shida zote hizo za nini?
Kwa nini usioe kabisa utulie nae 24 /7.
Uzinzi ni mzigo.
 
Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto)

Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke"

Tupeane maujanja ni vitu gani vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa

[Wadada pia changieni mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]

Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba

Tuambie kwa uzoefu wako

Funguka
Lamba mkund wake...madem weng wanapenda
 
Hakuna kitu kizuri kama kudate na mwanaume anayejielewa ana geto lake, kabati kitanda sofa, sufuria ndoo za maji jaba, kapeti yani unatamani tu kuhamia

Alafu amepangilia kwa usafi, siyo geto linanuka kaa nyumba ya mbuzi

Basi hata mapenzi yenu yanakuwa yananoga ile mnatembeleana mtu ana feel is a safe place to stay
 
Ghetto langu liko hivo hivo kama unavyotaka. Tatizo hakuna wa kupika na kupasha kitanda joto. Tuyajenge sasa
 
Hakuna kitu kizuri kama kudate na mwanaume anayejielewa ana geto lake, kabati kitanda sofa, sufuria ndoo za maji jaba, kapeti yani unatamani tu kuhamia

Alafu amepangilia kwa usafi, siyo geto linanuka kaa nyumba ya mbuzi

Basi hata mapenzi yenu yanakuwa yananoga ile mnatembeleana mtu ana feel is a safe place to stay
Umesahau Tv ...kwani hampendelei?
 
Hakuna kitu kizuri kama kudate na mwanaume anayejielewa ana geto lake, kabati kitanda sofa, sufuria ndoo za maji jaba, kapeti yani unatamani tu kuhamia

Alafu amepangilia kwa usafi, siyo geto linanuka kaa nyumba ya mbuzi

Basi hata mapenzi yenu yanakuwa yananoga ile mnatembeleana mtu ana feel is a safe place to stay
Mnnnh.

Mandoo ya maji tena?

Nani akachote maji?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom