Maki J
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 154
- 162
Hivi kuna mwanaume aliyewahi kuwaza kuchunguza uchafu unaojikusanya kwenye chuchu ya mwanamke (ondoa wanaonyonyesha watoto)
Leo nawapa homework nenda kwa mkeo, mpenzi wako theni mtomase ili chuchu zisimame na kuwa ngumu then taratibu kwenye kishimo cha chuchu (pale maziwa yanapotoka) kwangua na kucha taratibu sanaa (kwani eneo lile ni laini) utaona uchafu unatoka hivyo msimpende kukimbilia kunyonya kila cku wasaidie kusafisha mara mojamoja
Pia kitovu chunguzen vitovu vya wanawake wenu vingi vinakuwaga vyeusi kutokana na uchafu haswa wa maji ya sabuni wakati wa kuoga hivyo chukua kitambaa laini cha kuogea paka sabuni then safisha kitovu hapa pia lazima ufanye kwa taratibu...suuza kitambaa theni safisha tena mpaka kitovu kiwe cheupe.
Nyuma na chini ya matako haswa wenye makalio makubwa chukua kitambaa paka sabuni then sugua kwenye mkato wa makalio pia kwenye mstari wa ikweta sugua taratibu sehemu hiyo huwa laini pia. Wenye maziwa makubwa na yaliyolala chukua kitambaa chenye sabuni nyanyuwa ziwa then safisha kwenye mkato wa maziwa
Nyuma ya magoti fanya the same na katikati ya uti wa mgongo
Nasubiri mrejesho!