Wanaume nawapa siri kuhusu usafi wa mwili wa mwanamke wako!

Maki J

Senior Member
Mar 22, 2017
154
250
Hivi kuna mwanaume aliyewahi kuwaza kuchunguza uchafu unaojikusanya kwenye chuchu ya mwanamke (ondoa wanaonyonyesha watoto)

Leo nawapa homework nenda kwa mkeo, mpenzi wako theni mtomase ili chuchu zisimame na kuwa ngumu then taratibu kwenye kishimo cha chuchu (pale maziwa yanapotoka) kwangua na kucha taratibu sanaa (kwani eneo lile ni laini) utaona uchafu unatoka hivyo msimpende kukimbilia kunyonya kila cku wasaidie kusafisha mara mojamoja

Pia kitovu chunguzen vitovu vya wanawake wenu vingi vinakuwaga vyeusi kutokana na uchafu haswa wa maji ya sabuni wakati wa kuoga hivyo chukua kitambaa laini cha kuogea paka sabuni then safisha kitovu hapa pia lazima ufanye kwa taratibu...suuza kitambaa theni safisha tena mpaka kitovu kiwe cheupe.

Nyuma na chini ya matako haswa wenye makalio makubwa chukua kitambaa paka sabuni then sugua kwenye mkato wa makalio pia kwenye mstari wa ikweta sugua taratibu sehemu hiyo huwa laini pia. Wenye maziwa makubwa na yaliyolala chukua kitambaa chenye sabuni nyanyuwa ziwa then safisha kwenye mkato wa maziwa

Nyuma ya magoti fanya the same na katikati ya uti wa mgongo
Nasubiri mrejesho!
 

kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,769
2,000
waoneni huruma wanaume wa dar jamani? kisa tu wana vibamia ndo muwafanyishe kazi zote hizo ?:cool::cool::cool::cool:
Ivi kuna mwanaume aliyewahi kuwaza kuchunguza uchafu unao jikusanya kwenye chuchu ya mwanamke(ondoa wanao nyonyesha watt)Leo nawapa homework nenda kwa mkeo,mpenzi wako theni mtomase ili chuchu zisimame na kuwa ngumu then taratibu kwenye kishimo cha chuchu(pale maziwa yanapotoka) kwangua na kucha taratibu snaa (kwani eneo lile ni laini )utaona uchafu unatoka hivyo msimpende kukimbilia kunyonya kila cku wasaidie kusafisha maramojamoja

pia kitovu chunguzen vitovu vya wanawake wenu vingi vinakuwaga vyeusi kutokana na uchafu haswa wa maji ya sabuni wakati wa kuoga hivyo chukua kitambaa laini cha kuogea paka sabuni theni safisha kitovua hapa pia lazima ufanye kwa taratibu...suuza kitambaa theni safisha tena mpaka kitovu kiwe cheupe.
Nyuma na chini ya matako haswa wenye makalio makubwa chukua kitambaa paka sabuni then sugua kwenye mkato wa makalio pia kwenye mstari wa ikweta sugua taratibu sehemu hiyo huwa lain pia.

Wenye maziwa makubwa na yaliyolala chukua kitambaa chenye sabuni nyanyuwa ziwa then safisha kwenye mkato wa maziwa

Nyuma ya magoti fanye the same na katikati ya UTI wa mgongo

Nasubiri mrejesho!
Siamini huo uchafu ni mbaya kama wa uvinza!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom