You're either a professional giver or a receiver, what happened to 'utakula kwa jasho lako', Jamani Mungu Alimaanisha ufanye kazi!, si ulitolee kitandani, naona kilichobaki sasa mfanye mazoezi ya kujifunza kukatika mpaka chini,...bai!
You're either a professional giver or a receiver, what happened to 'utakula kwa jasho lako', Jamani Mungu Alimaanisha ufanye kazi!, si ulitolee kitandani, naona kilichobaki sasa mfanye mazoezi ya kujifunza kukatika mpaka chini,...bai!
Umeanza......:wacko:You're either a professional giver or a receiver, what happened to 'utakula kwa jasho lako', Jamani Mungu Alimaanisha ufanye kazi!, si ulitolee kitandani, naona kilichobaki sasa mfanye mazoezi ya kujifunza kukatika mpaka chini,...bai!
Hivi mnaongeleaga akina nani..? Maana sisi wengine tunaona mada za kugeneralize kila siku ..lkn ni watu tuna proffessional zetu nzuri, tunapiga kazi, kipato kipo, mademu tunakamua vizuri tu..unawaongelea akina nani..? Au in other words unaona ni sawa kugeneralize au ni waliokuzunguka wewe ndo wapo hivyo..? Maana unaongea hivyo as if ni wanaume wote wapo hivyo..! Tutaanza kuulizana hapa maeneo tunayoishi usikute mtu anakutana na vibrazamen vya kino na sinza anakuja kugeneralize hapa..!Am about to start a class ya ME only!, kujifunza kukatika cause naona ndo kazi mnayoweza nowadayz!:wacko:
Cuzzo you didn't know?!, Me nowadays wana approach kwa kuchungulia na kimachale wajue kwanza kama watapata ulaji au la!
Hivi mnaongeleaga akina nani..? Maana sisi wengine tunaona mada za kugeneralize kila siku ..lkn ni watu tuna proffessional zetu nzuri, tunapiga kazi, kipato kipo, mademu tunakamua vizuri tu..unawaongelea akina nani..? Au in other words unaona ni sawa kugeneralize au ni waliokuzunguka wewe ndo wapo hivyo..? Maana unaongea hivyo as if ni wanaume wote wapo hivyo..! Tutaanza kuulizana hapa maeneo tunayoishi usikute mtu anakutana na vibrazamen vya kino na sinza anakuja kugeneralize hapa..!
Lol!...oh!, don't even get me started!
Unajua wakati mwingine ukiwa na cycle ndogo ya exposure inaweza kukufanya uone maisha kwa njia flani kumbe yapo tofauti sana, na yalivyo, embu jisome vizuri umetoa uzi ambao upo too general, lkn ukiungalia kwa jicho la tatu unakuelezea wewe ni mtu wa aina gani na unakutana na watu wa aina gani..!!!!You know exactly what am talking about, wewe kama umejitosheleza good for you!, lakini kuna ME wengine kiuno ndo habari ya mujini!, :A S wink:
HahahhaAm about to start a class ya ME only!, kujifunza kukatika cause naona ndo kazi mnayoweza nowadayz!:wacko: