TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
You know exactly what am talking about, wewe kama umejitosheleza good for you!, lakini kuna ME wengine kiuno ndo habari ya mujini!, :A S wink:
Hahahah lol umenichekesha
You know exactly what am talking about, wewe kama umejitosheleza good for you!, lakini kuna ME wengine kiuno ndo habari ya mujini!, :A S wink:
Unajua wakati mwingine ukiwa na cycle ndogo ya exposure inaweza kukufanya uone maisha kwa njia flani kumbe yapo tofauti sana, na yalivyo, embu jisome vizuri umetoa uzi ambao upo too general, lkn ukiungalia kwa jicho la tatu unakuelezea wewe ni mtu wa aina gani na unakutana na watu wa aina gani..!!!!
Unajua wakati mwingine ukiwa na cycle ndogo ya exposure inaweza kukufanya uone maisha kwa njia flani kumbe yapo tofauti sana, na yalivyo, embu jisome vizuri umetoa uzi ambao upo too general, lkn ukiungalia kwa jicho la tatu unakuelezea wewe ni mtu wa aina gani na unakutana na watu wa aina gani..!!!!
You're either a professional giver or a receiver, what happened to 'utakula kwa jasho lako', Jamani Mungu Alimaanisha ufanye kazi!, si ulitolee kitandani, naona kilichobaki sasa mfanye mazoezi ya kujifunza kukatika mpaka chini,...bai!
Sitaki iwe kama ligi..ila ntaka nikupe tu another scope ya kuangalia mambo.. Maana mademu na washkaji wengi tunapotezwa sana na watu waliotuzunguka na kututengenezea dunia ya uongo na mateso..na isn't about ushuwani but its about mind na kujitambua tu..watu sijui wanachukulia vipi maisha aise..!? Na kwenye aya maisha ukijikuta umezungukwa na watu negative, watu wasioangalia hali halisi ya maisha umekwisha.. Utapatashida mno kutoka kwenye hayo maahimo..Sorry if I offended you but generally speaking habari ndo hii, just because some things are swept under the carpet and we don't get to see them, it doesn't mean they don't exist!, but ME wa hivi do exist even in those areas zinazoitwa za kishuwa
Embu acha maigizo bana be real, mademu wa kibongo badilikeni bana, tukikaa na nyie au tukiwasoma hivi mnaonekana mmejaza mambo ya ajabu ajabu vichwani mwenu, mpo too negative, hamjui mnataka nini, no plans, umuchknow mwingiii..Kama unaavocate viono kwa mfano wakati wa kutiana( making love) unafikiri kiuno tu ndo kinahusika!!!? Embu badilikeni bana..!!!...oh!, by the way am so sorry!, nikasahau kukukaribisha kwenye darasa la mauno!
Embu acha maigizo bana be real, mademu wa kibongo badilikeni bana, tukikaa na nyie au tukiwasoma hivi mnaonekana mmejaza mambo ya ajabu ajabu vichwani mwenu, mpo too negative, hamjui mnataka nini, no plans, umuchknow mwingiii..Kama unaavocate viono kwa mfano wakati wa kutiana( making love) unafikiri kiuno tu ndo kinahusika!!!? Embu badilikeni bana..!!!
Huyu atakuwa wa uswazi kasusiwa bill baada ya kukusanya wale wanawake wezake wanaochomekea madera kwnye pichu. Maana Hili povu lake c la kipole pole
kinachosikitisha siyo utumbo wa waleta thread humu jamvini, bali wale wanaoruhusu utumbo huohuo upate nafasi/air time. mwingine kaitwa jina lake huko bar kaja kuhadithia humu. mods amkeni
Wanawake wanaotaka mteremko huwa ndo mnalalamika mkifungiwa mirija ya mizinga,kutana na wabahili utazaa kwa uchungu,kula kwa uchungu na jasho utatoa
TUtumbo - Ukweli tokeni mapovu tu yakisemwa ya ukweli, and stop pretending!
makavu haya i hate you
Nimesemaa!, karibu darasaniii!, there'll be some refreshments too!
Am about to start a class ya ME only!, kujifunza kukatika cause naona ndo kazi mnayoweza nowadayz!:wacko:
I love you!
Ye kaponda wote pamoja kwa lugha isiyo na staha kumbe kazinguliwa na mmoja
asa kwanin mtuchanganye na samaki walochina
Hivi mnaongeleaga akina nani..? Maana sisi wengine tunaona mada za kugeneralize kila siku ..lkn ni watu tuna proffessional zetu nzuri, tunapiga kazi, kipato kipo, mademu tunakamua vizuri tu..unawaongelea akina nani..? Au in other words unaona ni sawa kugeneralize au ni waliokuzunguka wewe ndo wapo hivyo..? Maana unaongea hivyo as if ni wanaume wote wapo hivyo..! Tutaanza kuulizana hapa maeneo tunayoishi usikute mtu anakutana na vibrazamen vya kino na sinza anakuja kugeneralize hapa..!