Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Huyu ntakuwa nampongeza kwa ujinga. Yaani ametokaje Dar kwenda Arusha tena kaniambia kutembea tu huku hajabeba pesa ya kula?Mtumia hata laki chap mzee jiongeze
KWELI NAKOSEA KUTAFUTA WENYE HADHI YA CHINI/MASKINI. HAPA NIMEKUELEWA.KOSALAKO KUBWA NI UBAHILI...TAFUTA WA HADHI YAKO
Hapa niweje au niwe na behave vipi ndugu yangu?Uko serious sana.
"Nimeachwa sitaki tena maswali, naenda beach kula upepo wa bahari"Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini.
Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana.
Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano dk 7 tu. Akanipa na namba nk. Nlimkuta ofisini kwake. Nikampenda sababu ni mzuri na anajishughulisha.
Juzi nlimsalimia dk chache tu. Na leo asubuhi akani flash (kitu ambacho pia huwa sipendi) but sikutaka kesi.nikampigia akaniambia yupo safarini to Arusha. Tukaongea kidogo na kuamua tuchat.
Hizi ndo msgs zake whatsapp.
View attachment 2441763
Tayari ameanza nitangazia njaa. Kweli mtu utatoka Dar uende Arusha usifikirie kama njiani utakula? Usijipange njaa ikiuma utafanyaje? Hizi ni roho za Kimaskini. Mimi sipendi cheap women wa namna hii. Huyu nlitamani tuwe karibu then nimwongezee hata mtaji au biashara yake ikue but amenivunja moyo sana.
Sasa najiuliza napokuwa natafuta girlfriend nakosea wapi? Kwa nini kila naokutana nao wananitangazia shida? Mi natamani sana kuwe na Upendo. Naombeni ushari wenu please.
Kijana, Mtumie hiyo hela anayotaka alaf mkaushie kabisa yaani mfute ktk akili, mie ndio nafanya hivyo siku zote. Mpe hela then pita kushoto bila kuomba game hii itamtesa sana.Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini.
Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana.
Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano dk 7 tu. Akanipa na namba nk. Nlimkuta ofisini kwake. Nikampenda sababu ni mzuri na anajishughulisha.
Juzi nlimsalimia dk chache tu. Na leo asubuhi akani flash (kitu ambacho pia huwa sipendi) but sikutaka kesi.nikampigia akaniambia yupo safarini to Arusha. Tukaongea kidogo na kuamua tuchat.
Hizi ndo msgs zake whatsapp.
View attachment 2441763
Tayari ameanza nitangazia njaa. Kweli mtu utatoka Dar uende Arusha usifikirie kama njiani utakula? Usijipange njaa ikiuma utafanyaje? Hizi ni roho za Kimaskini. Mimi sipendi cheap women wa namna hii. Huyu nlitamani tuwe karibu then nimwongezee hata mtaji au biashara yake ikue but amenivunja moyo sana.
Sasa najiuliza napokuwa natafuta girlfriend nakosea wapi? Kwa nini kila naokutana nao wananitangazia shida? Mi natamani sana kuwe na Upendo. Naombeni ushari wenu please.
Kama Ni mtamu Haina tatiz kabisaNdio maana vijana siku hizi hatuoi. Tunazalisha tunalea watoto tu. Mwanamke njaa njaa namna hiyo ukisema umuweke ndani hakuna rangi utaacha kuona. Ndio hao ukifulia chap anamrudia bwana ake wa zamani