Wanaume na ndoa!

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
haya bwana....
mimi damu naogopa

ngoja nikupe mtihani:
niambie ni kwanini BAGAMOYO,SUMBAWANGA,PEMBA,NA KIGOMA tunazigroup pamoja wakati wote tunapoamua kuzielezea?
Teh teh! Ni kwa vile kuna wanasayansi ambao hawajawa certified! Lakini kiboko yao ni hili group la ;Mtume na nabii Mwingira,Mzee wa ufufuo Gwajima,Askofu Kakobe,Mh-mchu-Ask-Dk-mama Rwakatare n.k
na siku zote kumbuka ;Dawa ya moto ni moto,dawa ya maji ni maji na dawa ya Damu ni damu.........
 
hapo chacha!! (kwenye red)

nimesema presumably mkiishi miaka miwili basi...........sasa hiyo si imezidi miwili DC na watoto juu...ndoa hiyo!! sasa huyo mama saa hizi kumekucha shuka la nini??

Mpendwa Mungu akubariki sana (najua utajibu...AMEN). Sasa mtumishi wa bwana anaweza kwenda kupata lunch ya nguvu (ukizingatia mama watoto nimemshawishi akaacha kazi toka mwezi wa 5)!!

Kuna watu wengine wana taabu dunia hii. Yaani wanakwenda kwa daktari wa Amana au Mnazi mmoja na kujikalisha kwenye mstari masaa 2-6 huku wakijua hawaumwi! Ndo maana nilisema huko nyuma kwamBa huyu mama kweli ni mchokozi! Kama anakumbuka dini leo basi ajenge kanisa lake ili asiwekewe vikwazo kwamba alikula bila kunawa kwa miaka 10!
 
Teh teh! Ni kwa vile kuna wanasayansi ambao hawajawa certified! Lakini kiboko yao ni hili group la ;Mtume na nabii Mwingira,Mzee wa ufufuo Gwajima,Askofu Kakobe,Mh-mchu-Ask-Dk-mama Rwakatare n.k
na siku zote kumbuka ;Dawa ya moto ni moto,dawa ya maji ni maji na dawa ya Damu ni damu.........
hapo sasa ndo ninaposhindwana na charity...
kwa mfano ungekuwa mrs wangu,dah HAKI-A-NANI MI NGEKUACHIA NYUMBA naenda kupanda chumba kitunda:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
ok kwa michango ya wengi hapa naona hawa ni wana ndoa halali kabisa, huyu mama hata akiachwa atakaua ameachika tu kama hawa wa ndoa za kanisani wanavyoachana!

Swali la kizushi:- Je hapa JF kuna wanaume au wanawake wanaoshi hizi ndoa informal?
Asijidanganye kwa hilo.Ang'ang'anie mpaka apate cheti(cha ndoa).Silaha zote anazo za kumfanya mwnaume ATANGAZE NIA.kwa nini hazitumii????????
 
Mpendwa Mungu akubariki sana (najua utajibu...AMEN). Sasa mtumishi wa bwana anaweza kwenda kupata lunch ya nguvu (ukizingatia mama watoto nimemshawishi akaacha kazi toka mwezi wa 5)!!

Kuna watu wengine wana taabu dunia hii. Yaani wanakwenda kwa daktari wa Amana au Mnazi mmoja na kujikalisha kwenye mstari masaa 2-6 huku wakijua hawaumwi! Ndo maana nilisema huko nyuma kwamBa huyu mama kweli ni mchokozi! Kama anakumbuka dini leo basi ajenge kanisa lake ili asiwekewe vikwazo kwamba alikula bila kunawa kwa miaka 10!

haaa...lol
 
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
hebu kwanza nikuulize wewe, wakati unaanza kuishi na huyo my husband wako ulikuwa na imani yoyote ya dini? je uliona ni sahihi kwenda kuishi na mwanaume bila ndoa, if yes kwa nini sasa hivi unaona sio sahihi
 
Asijidanganye kwa hilo.Ang'ang'anie mpaka apate cheti(cha ndoa).Silaha zote anazo za kumfanya mwnaume ATANGAZE NIA.kwa nini hazitumii????????

nidokezee hizo silaha charity, huenda kesho tukasikia anasema nami NATANGAZA NIA
 
hapo sasa ndo ninaposhindwana na charity...
kwa mfano ungekuwa mrs wangu,dah HAKI-A-NANI MI NGEKUACHIA NYUMBA naenda kupanda chumba kitunda:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Tatizo kubwa ni kuwa 'NABII' huwa hakubaliki nyumbani kwao.
Ushauri wa bure ni kuwa angalia Signature ya bht na uifanyie kazi.Utakuja vunja nyumba yako siku moja kwa mambo yasiyo ya msingi(kama hiyo red unamaanisha).......
Kumbuka kuwa mshiki wa mwaka 2010 sio mshiki wa mwaka 2020.Kuna mabadiliko mengi sana yatatokea ,kimwili,kiroho,kiafya,kiakili,kisaikolijia,kinafsi n.k.
Narudia tena hili nilisema jana.Wanaume mmeambiwa muishi kwa akili na wake zenu........
 
hebu kwanza nikuulize wewe, wakati unaanza kuishi na huyo my husband wako ulikuwa na imani yoyote ya dini? je uliona ni sahihi kwenda kuishi na mwanaume bila ndoa, if yes kwa nini sasa hivi unaona sio sahihi

katelero mbona wanihukumu kiasi hicho? never mind about her past, huezi jua yalitokeaje mpaka akahamia hapo, muhimu ni anaishi nae sasa na anatamani ingekua ndoa halali ya kikanisa!
 
Asijidanganye kwa hilo.Ang'ang'anie mpaka apate cheti(cha ndoa).Silaha zote anazo za kumfanya mwnaume ATANGAZE NIA.kwa nini hazitumii????????

Silaha gani tena hizo? AK47 au Scud?

Mhh, hapa itabdi nimzue yule mama kuingia jamvini kwani anaweza kuamua siku moja kutumia hizo silaha za maangamizi! Ila huyo baba nadhani naye amejiimarisha vya kutosha. Kama ameweza kuhimili mawimbi na Vuvuzela za mdau wake kwa miaka 10 basi anti-missiles zake si mchezo!
 
Mpendwa Mungu akubariki sana (najua utajibu...AMEN). Sasa mtumishi wa bwana anaweza kwenda kupata lunch ya nguvu (ukizingatia mama watoto nimemshawishi akaacha kazi toka mwezi wa 5)!!

Kuna watu wengine wana taabu dunia hii. Yaani wanakwenda kwa daktari wa Amana au Mnazi mmoja na kujikalisha kwenye mstari masaa 2-6 huku wakijua hawaumwi! Ndo maana nilisema huko nyuma kwamBa huyu mama kweli ni mchokozi! Kama anakumbuka dini leo basi ajenge kanisa lake ili asiwekewe vikwazo kwamba alikula bila kunawa kwa miaka 10!

hapo coloured......natafuta muda

otherwise AMEN bro!!!
 
Silaha gani tena hizo? AK47 au Scud?

Mhh, hapa itabdi nimzue yule mama kuingia jamvini kwani anaweza kuamua siku moja kutumia hizo silaha za maangamizi! Ila huyo baba nadhani naye amejiimarisha vya kutosha. Kama ameweza kuhimili mawimbi na Vuvuzela za mdau wake kwa miaka 10 basi anti-missiles zake si mchezo!
Huyu mama anahitaji kanselling kwanza.INavyoonyesha kuna vitu vinatakiwa viwekwe wazi kabla ya kupewa silaha,ninawasiwasi anaweza kuzi-missuse
 
kwanza CONSULTANCY FEE tafadhali.2010 Kijasiriamali zaidi!!!!!!!!!

hee kweli kijacriamali zaidi....lol! lakini hata mie ningefurahi sana kama huyu baba angemuelewa huyu mama, wafunge ndoa jamani, kwani huyu baba kinamzuia kitu gani?
 
hapo coloured......natafuta muda

otherwise AMEN bro!!!

Kweli dada, ukiwa insecure lazima ujue jinsi ya kushughulika na potential threat (vijizi vingi mtaani). Mama akiwa home, geti limefungwa 24/7 na mbwa (tena wale German Shephard) wanazunguka zunguka unaweza kukaa ofisini kwa amani. Vinginevyo utaanza kufikira kurudi rudi home kama vile unamfukuzia baki 3!
 
hee kweli kijacriamali zaidi....lol! lakini hata mie ningefurahi sana kama huyu baba angemuelewa huyu mama, wafunge ndoa jamani, kwani huyu baba kinamzuia kitu gani?

Kuna kitu hapo? Mtu na akili zake, tena mwanamume, kwani nini hataki kwenda kufunga ndoa? Haiwezi kuwa bure!
 
Kweli dada, ukiwa insecure lazima ujue jinsi ya kushughulika na potential threat (vijizi vingi mtaani). Mama akiwa home, geti limefungwa 24/7 na mbwa (tena wale German Shephard) wanazunguka zunguka unaweza kukaa ofisini kwa amani. Vinginevyo utaanza kufikira kurudi rudi home kama vile unamfukuzia baki 3!

haa kaka! mbona hivyo tena,...kwanini hamjiamini/hamtuamini?
 
Kuna kitu hapo? Mtu na akili zake, tena mwanamume, kwani nini hataki kwenda kufunga ndoa? Haiwezi kuwa bure!

huyu mwanamke atumie busara za ziada kujua tatizo, tuache uongo ndoa iliyohalalishwa ina umhimu wake sana.
 
Back
Top Bottom