Mom kumbe mnaishi wote....tayari wewe ni mke sasa kukuoa si formality tu kwani kuna la ziada atakalo pata hapo ??
kweli sheria za Mungu zipo kwa ajili ya kutulinda sisi lakini sijui kwa nini huwa hatutaki kuelewa hivo tuaona ni kama zinatunyima uhuru vile.
matokeo yake ndo haya!!! najaribu kufikiria tungekuwa hatuzini au ku-cohabit, si kila mtu mwenye wito wa ndoa angeingia kwenye ndoa? lakini sasa yule aliye kwenye ndoa hana tofauti na wale ambao wanjifanyia mambo yao informally....so why should one bother??
napend akuwashauri wadada wackubali kuishi na mwanaume bila kutangaza nia inayoeleweka kwanza.
ha ha ha ha!
leo nitakutafuta mkuu nije hapo mahala tugawane SALARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII OOOOOOOOH!salari eeehhhh ehhhhh ooohh
Afwadhali umekuja! Bwana awe nawe na akulinde hadi milele (sijui milele yenywe inashia wapi)! Hebu tusaidie sisi tunaopata kigugumizii cha kufikiria.
Hapo kwenye hii issue anayoongelea Mom kuna ndoa au haipo? Yaani jamaa anaweza kubwaga mzigo na kujichukulia mchuma mpya bila wasi wasi wa kufikishwa kwenye masanduku ya pilato?
Afwadhali umekuja! Bwana awe nawe na akulinde hadi milele (sijui milele yenywe inashia wapi)! Hebu tusaidie sisi tunaopata kigugumizii cha kufikiria.
Hapo kwenye hii issue anayoongelea Mom kuna ndoa au haipo? Yaani jamaa anaweza kubwaga mzigo na kujichukulia mchuma mpya bila wasi wasi wa kufikishwa kwenye masanduku ya pilato?
ninatafuta salariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ooooooooooooooooooooooh salariiiiiiiiiiiiiiiii
we umeiona???? hebu njoo bana!!!!
Tatizo lako umekuwa Bingwa wa OTHER MEMBERS POST EDITING CALLING.na sijui kwa nini invizibo huwa anakusamehe sana.una hisa mzee?hahaha!mimi ndo maana huwa naogopa sana wakina mama!
mke wangu akianza tu kunywa damu...SHE WILL HAVE TO GO HOME:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Nakuja!!!! Ulikuwa wapi Mum? Ingia moja kwa moja ndani!
@Nyamayao kutangaza nia peke yake haitoshi kunihamishia kwake, tuifunge hiyo ndoa kwanza ndipo nihamie kwake/ahamie kwangu/tuishi pamoja.
Unachukia huo mbinuko au kutokuvaa nguo?I hate your avatar.....this is from the deepest part of my heart!!!
hhaaaaa shikamoo kaka DC !!! hii sasa kesi unaniuzia wenyewe wenye taaluma yao watakufunga
ila nikwambie kitu ''presumption of marriage'' ni mapak watu wawe wameihi pamoja kwa miaka miwili angalau, kiasi kwamba hata wale majirani wanawajua kama mke na mume!!!
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!Tatizo lako umekuwa Bingwa wa OTHER MEMBERS POST EDITING CALLING.na sijui kwa nini invizibo huwa anakusamehe sana.una hisa mzee?
Kuhusu Damu ya Yesu,ni muhimu.Yesu aliwaambia wafuasi wake kama wakikataa kula mwili wake na kuinywa Damu yake hawana shirika na Yeye Yoh 6:31-42.
Na kama ukikataa mke wako kunywa damu....... subiri aanze kunywa maji meupe yale(Chang'aa)
PSALMS 90-10
Seventy YEARS is all we have, eighty years if we're strong: yet all they bring us is TROUBLE and SORROW; LIFE is SOON OVER, and we're gone.
kwa style hii bora niingie moja kwa moja ndani
Haya basi (red), .... marahaba!!
Sasa jamani hawa wameshaishi pamoja miaka 10, na watoto 4 juu; wanahitaji ushahidi gani ili watu waamini na kukubali kuwa wako kwenye ndoa? Kama majirani hawajui basi wanawaona na watoto. Huo ushahidi hautoshi jamani, au na hii ni ngumu kama kesi ya Zombe?
Shida ni kuwa watu wanafunuliana kila kitu kwa hiari halafu eti baadaye ndo wanaanza kuona kuwa kuna vitu vinaitwa sijui zinaa, ndoa n.k. Kwa nini hizo dini wasizikumbuke kabla ya hizo match zao za majaribio? Hakika ukimwi ungebakia kuwa simulizi!
@Nyamayao kutangaza nia peke yake haitoshi kunihamishia kwake, tuifunge hiyo ndoa kwanza ndipo nihamie kwake/ahamie kwangu/tuishi pamoja.
Leo sikuelewielewi! au macho yangu? DC alivyokuona hewani, akasema afwazali umekuja.. Nami bila ajizi, nimekukaribisha ndani moja kwa moja. TUJUZE, Kwa nini hamtaki kuolewa? Sorry, Kwa nini inakuwa ngumu ukishaingia ndani jamaa anakuwa mgumu kuoa..
ok kwa michango ya wengi hapa naona hawa ni wana ndoa halali kabisa, huyu mama hata akiachwa atakaua ameachika tu kama hawa wa ndoa za kanisani wanavyoachana!
Swali la kizushi:- Je hapa JF kuna wanaume au wanawake wanaoshi hizi ndoa informal?