wanaume na mipira yaooo!!!

wanaume na mipira yaooo!!!

hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
pole sana, uyo aliyekukera atakuwa anashabikia arsenal. siku arsenali akifungwa huwa nafurahi sana...haha
 
shabik wa liver hawez kurud home amemnunia mpenz wake,maana wanajiamini na hawana wasiwasi,sasa arsenal au chelsea ukishabikia unatafuta maeadhi

kijana wangu nimekugongea like apo juu maana umeongea ukweli mtupu.
Deborita nini mbaya?
 
Last edited by a moderator:
nyie mnoitaja Arsenal huenda hamjui mnachozungumza,. Nimewasamehe buree
 
Last edited by a moderator:
sa ndo ht mechi uninyime loh!!

Nikanzaga kuwaza madhila ya Mzee Wenger jinsi anavyopanga kikosi dhaifu, na labda niliamua kwenda kucheki gemu ili nipungvuze stress za kazini, halafu gemu yenyewe ndio imeniongezea stress unafikiri "itasimama" basi??
 
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman

utoto huo,,,,,,,,,,, yaani nisikupe kito.mbo kisa mpiraa!!!??????
 
Mke wangu mimi kiukweli sio MAN UTD. Tukifungwa anavyonibembeleza hadi nasahau kama tumefungwa! Tukishinda anavyonisupport hadi nafurahia. Ila kwenye mechi anashabikia timu pinzani.
 
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman

pole mtoa mada mwambie mpezi wako ahamie MAN U au yanga ili hasira zimuishe na awe anakugegeda kwa amani na raha.
 
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman

Sasa mtu wako kapigwa kwenye mechi lets say Alianz Arena au Stanford brigde akaja amenuna ,kakunja ndita kama anakunywa uji wa klorokwini alafu wewe utake mechi tena?Yeye mwenyewe hayuko kwenye mood hiyo apetite ataipataje?Wewe ndo umeshindwa kumshawishi ili umrudishe kwenye formation upate kale ka machezo bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom