wanaume na mipira yaooo!!!

wanaume na mipira yaooo!!!

Aha ha ha ha ha!! Pole sana, inabidi umshauri jamaa wako asiwe na ushabiki uliopitiliza dizaini hiyo. Mimi timu nayoipenda ikifungwa ndo kwanza nazidi kuwa mpole kwa wife ili anipe raha za dunia nijisahaulishe machungu ya kufungwa timu yangu. Mara nyingi timu nayoipenda ikifungwa basi mimi huwa nalipiza kumfunga mke wangu katika kale kmchezo ketu ambacho huleta raha na starehe kuliko mechi nyingine zozote duniani.
 
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman

teh teh teh tatizo lako wakati uyo mwanaume anakutongoza hukumuuliza kua yeye ni shabiki wa timu gani... Uyo mwanaume ni shabiki wa asenali... Na utakoma mwaka huu teh teh teh
 
teh teh teh tatizo lako wakati uyo mwanaume anakutongoza hukumuuliza kua yeye ni shabiki wa timu gani... Uyo mwanaume ni shabiki wa asenali... Na utakoma mwaka huu teh teh teh


kweli asenali majanga.....lol...

Pumzi yao itakata muda si mrefu...
 
ni kweli ni tatizo ila miye siwezi acha kitumbua kisa nimefungwa
 
achen kuzingua basi, mshaona arsenal ndo timu ya kufungwafungwa sio! Ebo!!
 
mi nilijua "mipira" yao. kiswahili hiki kimekua! teh teh.

timu yake ikishinda huweza kuomba mechi ya ndani kwa nguvu...kisa anashangilia ushindi
wanaume wengine huenda na hasira za mipira yao hadi kazini
 
Wenzako mbona wameshazoea! !!Kwangu mie km team yangu inacheza mm sichez ya 6*6!!NYIE MBONA SIMBA WAKIWA WANACHEZA SISI TUNAVUMILIA TENA SIKU 3 WENGINE MPAKA 5,THEN UWANJA UKAUKE NI. SIKU 7-10!!BAADHI YENU HUWA NA KISIRANI SN KIPINDI HICHO ..TUNAISHI NANYI KWA AKILI, NYIE JE??

Lol..mabwaku!
 
yaani,usiombe muwe mnashabikia timu tofauti sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom