Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 986
liver ndo habar ya mujini
Aaaa Liver tena?, ndio mpango mzima
liver ndo habar ya mujini
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
Muambie ahamie chelsea, chama kubwa! Darajani kumejaa maji hana pa kupita.
bora mipira ifutwe kama vipi
Unanijua mi ni "Mshika Bunduki" (Arsenal) damudamu. Tumepoteza mechi na Chelsea, we hata pole hakuna unaanza kuleta mashtaka yako yasiyo na kichwa wala miguu.
Aaaa Liver tena?, ndio mpango mzima
Dah nilshafikiria tofauti kidogo....
hiyo ni dalili ya kumiminiwa nyingi na mashetani wekunduu.
kumbe mliooa mna kazi,kila siku game?Haha!
Kweli jana Chelsea walitufunga... hata mimi sikumpa mpenzi wangu tunda jana, japo alilalama usiku kucha.... teh!
kumbe mliooa mna kazi,kila siku game?