Wanaume na makundi yao

Wanaume na makundi yao

Waliolelewa na mama tu kuna tabia za kiume huwa wanakuwa hatarini kuzikosa kama mama sio jemedari na hajui maana ya kuwa na mtoto wa kiume.
Anazungumzia wamama wa kizamani sio wamama wa kisasa wanaoitwa mamy na mam sijui mamu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
bora teke, kuna wamama walikuwa wanatembeza miko usiombe ukupate kwenye kiwiko ndio utajua
Saluti sana kwa mama zetu. Nakumbuka ukirudi nyumbani unalia umepigana ukapigwa ni bora usiseme kwa yatakayokukuta. Kwann upigwe? Puuuuu, we ni kilema pwaaaa.
 
Saluti sana kwa mama zetu. Nakumbuka ukirudi nyumbani unalia umepigana ukapigwa ni bora usiseme kwa yatakayokukuta. Kwann upigwe? Puuuuu, we ni kilema pwaaaa.
ila walikuwa wanajua kutukomesha.
Ukisema umepigana ukapigwa ni kosa unachapwa kwann upigwe tena na kusimangwa juu " wewe ni mwanaume gan unapigwa kizembe"
Ukisema umepigana ukampiga mtoto wa watu kosa unakula fimbo " kwann unapenda ugomvi ukiwaumiza wenzako utawalipa?". Yan wao kila sababu ilikuwa ni kosa
 
Walitufunza kuwa na vifua. Leo kuna mambo hatuyasemi hata kama yanatuumiza au kutupa sifa. Umefanya ila linabaki kuwa jambo lako.
 
Walitufunza kuwa na vifua. Leo kuna mambo hatuyasemi hata kama yanatuumiza au kutupa sifa. Umefanya ila linabaki kuwa jambo lako.
Mungu awabariki sana.
Sijui wamama wa Leo wanashindwa nn? Au ndio malezi ya kuiga kwenye tamthilia
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Waliolelewa na wajomba,
waliolelewa na bibi,
waliolelewa na babu,
waliolelewa na kaka,
waliolelewa na dada,
waliolelewa na binamu,
waliolelewa na mpwa,
waliolelewa na shemeji,
waliolelwa na mashangazi,
waliolelewa kwenye vituo vya yatima,
waliolelewa na majambazi,
waliolelewa na wachawi,
waliolelewa na mchungaji,
waliolelewa na padri,
waliolelewa na sheikh,
waliolelewa na wanachama wa CCM,
waliolelwa na CHADEMA,
waliolelewa na wanachama wa JF

listi ni refu sana tunaomba uendelee kutujuza
Hawaa wooote wana tabia zinazo fanana, za kujiskia, uchoyo uchoyo hivi, hawamwamini mtu awaye yeyote! wanaamini sana uchawi!! ndo ila kitu kutwa kucha kwa waganga na hela zao huishia hukoo!!

Mara nyingi kuliko zote huishi peke yao!! km ikitokea ameoa au kuolewa!!! ...siku ukichelewa kurudi tu anajua unamipango ya kum maliza!! wao ni wao tu hata uwapende vipi!

Hawa mara nyingi huwaga ni wachawi wa kuaminika popote utakapo kwenda!
 
Waliolelewa na bibi je
Maweee!! hawa wa kulelewa ka bibi viburiii, kudeka bana weee!! uongo!! vijinga jinga tuu!uongo kinzani mwiingi!!........vina kataaga shule na bibi ana support!! vinasema sema kweli bila kuulizwa!!!

kila kitu kana sema kwa watu!! siku ukipata mahela!!! jiandae kuvamiwa na majambazi!!....ukianza kujenga msingi tu!! kwao lazima wajue!

mara nyingi vinakuwaga vyembamba ajili ya kutembea sana vikisambaza habari zako kwa watu! huwa vina sahau kula msosi, km ni ke mbaya zaidi vikiwa na jina la Jacqulline!!.....Maggie...,,,

wengine sijui km ,Lubuva, nk...au vitakula huko huko vinakopeleka umbeya!... siku kakichapwa shuleni kanenda kumuonyesha bibi ake kalivyo nyukwaa!! basi, bibi ake anakapa likizo! kanakaa home!
 
Dah mkuu umeua sana[emoji1787][emoji1787]
 
ila walikuwa wanajua kutukomesha.
Ukisema umepigana ukapigwa ni kosa unachapwa kwann upigwe tena na kusimangwa juu " wewe ni mwanaume gan unapigwa kizembe"
Ukisema umepigana ukampiga mtoto wa watu kosa unakula fimbo " kwann unapenda ugomvi ukiwaumiza wenzako utawalipa?". Yan wao kila sababu ilikuwa ni kosa

Hahah... nakumbuka ilikuwa wenzangu wakiniuzi nabaki nafoka ila sipigani nikirud home nasema, nilipewa ile kauli ikabaki hadi leo

“Mtu akikupiga na wewe mbonde, akikuchefua na wewe mchefue” aisee hiyo kitu imenijenga nobody messes with me mpaka leo

Kuna siku nilivunja deli la ice cream sababu jamaa alinipiga kofi... yule muuzaji akaja hadi home kudai ili alipwe, muuza ice-cream akalipwa pesa yake

Nilijua ntapigwa kweli, lakini cha ajabu

“alivyoondoka wakasema wako very proud nimevunja deli la mtu mkubwa bila kuogopa”

My family was very weird [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Nimefanya tafiti japo siyo ramsi kwa kugawa wanaume katika mazingira matatu kwa kuzingatia aina ya malezi na makuzi yao, makundi yenyewe ni haya

1. Wanaume waliolelewa na mama tu katika utoto na ujana wao. Wengi wanapofika umri wa mtu mzima huwa na tabia hizi. Wengi ni wastaaraabu, hawapendi usumbufu na sio watu wa kujingiza kwenye tabia hataarishi. Hawa wengi huridhika sana na maisha yao hata kama kipato chao ni kidogo, mfano ukimkuta ni mwalimu huyu atashinda muda wote kazini, atawahi kurudi nyumbani akae na familia yake, hawezi engage kwenye tabia hatarishi, hawa anaweza pigwa na mke na asichukue hatua yoyote, wasafi wa mwili na mazingira.

2. Wanaume waliolelewa na baba tu. Wengi ni katili, watu wasiojali, always ni watu wa ku-risk maisha, pia sio wasafi wa mwili na mazingira. Ndio hawa ukimkagua anakolala unaweza panic, ila wengi ni watafutaji sana.

3. Wanaume waliolewa na wote. Hawa huwa hawaelewiki, na wengi tabia zao zinafana na kundi la pili tabia nyingine ngumu wanapenda sana ngono na pombe, ndio kundi la walevi wengi.
Wewe uko kundi gani kati ya 1, 2 na 3
 
Sijui kwanini vimwanaume vilivyolelewa na bibi vijikataaga shule bibi ana support?

Kuna kimoja huku mtaani sijui maisha yake yatakuwaje huko mbele ya safari?hivi vitoto banaa aaaargh
 
Sijui kwanini vimwanaume vilivyolelewa na bibi vijikataaga shule bibi ana support?

Kuna kimoja huku mtaani sijui maisha yake yatakuwaje huko mbele ya safari?hivi vitoto banaa aaaargh
Hao labda mabibi wa kisasa...bibi yangu wakati huo alikuwa anapiga viboko mvua

anasema “mimi mtoto mjinga napiga nkigeuka kulia napiga nkigeuka kushoto napiga” 😂 na anabonda kweli...
Babu sasa balaa lake, hahah dah acha tu

Usiende shule sasa uone moto wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
leo nimekuta mtoto wa jamaa angu anapigwa na watoto wa ndugu zake analia
Nikakumbuka huu uzi nkajua jana niliusoma kwa maana...

nkamuita dogo pembeni nkamjaza ujasiri,
baada ya hapo akawa analia dogo mwingine yule mkorofi kapigwa

Mama ake akasema “bora leo mwanangu na wewe umepiga maana kila siku wanakufanya ngoma...” kimoyo moyo nkasema “you’re welcome”

She didn’t know kwamba nmefanya vile...
 
Back
Top Bottom