smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,975
- 3,133
Malezi ya me yeyote ni Mama bana!!! yeye anakwambia kabisa ukisha oa uwe imara kabisa km simba! usikubali ujingaujinga!! mshikirie mkeo na umuweke kwenye mstari!! usikubali akuendeshe muhudumie vizuri utunze wanao!
watakusaidia mbele huko....si mnaona Idd Amin alivyo kuwa mwanaume alikuwa hataki ujinga mama yake yule!!...Angalia ka Nyerere kale ka jamaa na Mama yake damu damu! kuliko mdingi wake!
mama yake ndo kapiga chapuo kakasome mwisenge!