alinunua viwanja vingi sana, ila sasa alipofilisika na kwa sababu hakuwa na investment nyingine na hakuwa na hela, pamoja na kutaka kuendeleza life style waliyokuwa wanaishi basi waliuza vyoooteeeee kidogo kidogo mpaka akamaliza. hapo sasa ndo akaridhika kuwa kafilisika
ha haaaa, ila tuelewane kwanza kuwa uchumi siyo ubahili..... lol! sasa tuendelee
bora awe anakunywa bia peke yake, nyumba ndogo za kumwaga na kutafuta sifa kwa watu bila sababu.....
huwa nawatimuaga mpaka wameshajua, wakija kwangu wakitaka kupata msaada basi wana-foji jambo la dharura, maana najua hilo hawakuwa na control.......
siku hizi nawaambiaga wanatakiwa kuhifadhi angalau 5% ya mshahara kwa ajili ya dharura.....
unajua sasa jina walilonipa? MANGI
ha haaa, nitakuMpesaNikopeshe one M pliz, kuna dharula ya mchango wa harusi na birthday ya mshkaji wangu. Si unajua tena maandalizi
na mchango ni muhimu!
Ni kweli kabisa.... kuna watu wapo hivyoYaani kuna mtu zamani aliwahi sema kuwa kuna aina ya watu
ukiwapa mabilioni na 'kuwa unawachapa viboko kila siku' ukiwakumbusha wasifilisike
haiwezekani still....watafilisika tu mwishowe
Hahaha...
Kuna fursa nyingi mno za kutukomboa kiuchumi huwa tunazipuuzia pengine kwa kutokuwa na uelewa au udumavu wa akili au kutothubutu.
Mathalani Tanzania imejaaliwa ardhi yenye rutuba na yenye kustawisha mazao chungu tele...huu ni mfano mdogo mno wa fursa ambayo sisi Wabongo tunaipuuzia...ni Watanzania wachache mno wenye uelewa au ufahamu wa kilimo chenye tija.
Hivi siku moja tukipata rais ambae ataroa tamko kuwa baada ya mwaka mmoja kijana yoyote asie na kazi anatakiwa either amepata cha kufanya au kama hana aondoke mjini na kwenda kwenye mashamba na kujikusanya vijana angalau wa 5 na serikali iatawapa eneo na penbejeo kwaajili ya kilimo na itawapa mahitaji yote muhimu kwaajili ya chakula na kilimo kwa muda wote watakaokuwa mashambani
Halafu ikaweka sheria kali ya kwenda mijini hovyo na ni marufuku kuonekana kijana anazurula hovyo bila kazi na baadhi wakakkamatwa na sheria ikachgukua mkondo wake unadhani kutakuwa na asie na kazi?
Unadhani kutakuwa na njaa?
Thubutuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
Pole sana kila mtu ana woga na 'future'
me included but kuwa na woga ni first step
as long as unaogopa itakusaidia...sanaa
pesa ndo hizi hizi tu
unapandisha nyumba kozi tatu zingine una spend
ukirudi unaongeza kozi nne na una spend kidogo
Kwangu mimi hii itakuwa the best thread i have ever read,na si kwasababu inaongelea maisha ya wazee wetu bali kwa jinsi ilivyojaa umakini.
Back to the topic:
Ukiangalia kuna wazee wengi ambao mpaka leo nashindwa kuelewa kwamba nini kilitokea katka maisha yao mpaka mwisho wa siku wanaishia kuadhilika kwa kiasi kibaya,
Kuna wazee wengi ambao nisingependa kutaja majina yao wamekuwa wakiongelewa mara kwa mara kwamba wanahitaji misaada wakati ukiangalia ni watu ambao wamewahi kuwa na majina makubwa hapa nchini na kutambulika hata nje ya mipaka,lakini kwa kukosa umakini wanaishia kudhalilika
ha haaa, ila tukiwaambiaga sisi ndo tuna-determine future yenu mnakataa, lol!YAANI FIXED POINY UMEONGEA POINT,SIJUI NIKUPE ZAWADI,HEBU CHAGUA ZAWADI
karibu sana....Kwangu mimi hii itakuwa the best thread i have ever read,na si kwasababu inaongelea maisha ya wazee wetu bali kwa jinsi ilivyojaa umakini.
Back to the topic:
Ukiangalia kuna wazee wengi ambao mpaka leo nashindwa kuelewa kwamba nini kilitokea katka maisha yao mpaka mwisho wa siku wanaishia kuadhilika kwa kiasi kibaya,
Kuna wazee wengi ambao nisingependa kutaja majina yao wamekuwa wakiongelewa mara kwa mara kwamba wanahitaji misaada wakati ukiangalia ni watu ambao wamewahi kuwa na majina makubwa hapa nchini na kutambulika hata nje ya mipaka,lakini kwa kukosa umakini wanaishia kudhalilika