Don't give to many sorry... Moja inatosha...Nilimix mafail mkuu samahani .
I thought wewe ndie mtoa mada ulinivoquote nikajua ni spirit ndo nimesoma tena uzi
Na ndio maana kuna post nimekujibu kuwa kwani wewe unataka usubiriwe kwa muda gani mamaa???
It wasn't my intention to abuse you friend sorry once again.
Cc Smart911 [emoji120] [emoji120]
Sawa love nimekuelewa. Thanks my kingSorry once its enough... Kumkosea mtu kawaida...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hio akili natamani kweli nikuone na demu wako ukute maneno mengi tu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc Smart911
Sasa kama umeshamkubalia kwa nn aendelee kusubiri? Kwani huo ni mtaji eti unasubiri uendelee kuongezeka kabla ya kuutumia?.Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Mbona nyinyi mna haraka ya pesa zetu na hatuwasemi?Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Thanks Smart911 Wangu love you more beibeeAnd i love you mahondaw wangu... Even i, whenever we meet lazima to duu.. Hatujawahi kaa na kuchill tuu...
But kiuhalisia hapa duniani tupo kwa mission tatu tuu...
1. Kuzaliwa
2. Mapenzi
3. Kifo.
We unataka uniombe wewe tu nikikuomba Mimi nongwaHabari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Kwani kumpa siku hiyo hiyo na kuchelewa kumpa inabadilisha kipi hasa? Kama nia yake ni kupiga chata hata ukimcheleweshea simulation ukimpa atapiga afu atasepa zakeYani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Mwambie asubir mzoeane ndo umpe pesa za kodiyan hapa kuna mtt nilimpanga akajaa nkamumba game akanichomolea eti ndo kwanza hata wiki haijapita nivumilie anijue fresh dah kishngo upande nikaitikia poah
cha ajabu ndani ya hio hio wiki kanipiga kizinga cha sijui amepungukiwa na kodi kwenye txt nilichokifanya kwanza nikacheka kwa dharau then nikadelete na namba hapo hapo
yan sex hutaki mpaka tuzoeane kizinga anapiga kwa txt kavu kavu yan
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app