BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
- Thread starter
- #41
mlaumu mwanamke mwenzio na sio mmewe upo hapo bishosti...hwell:
kwa hiyo unuke kama beberu halafu useme mwanamke? Ina maana mwanaume hana akili za kuoga? Kujua makwapa masafi? Hana akili za kujua shati valiwi siku mbili mfululizo wala tshirt haivaliwi wiki nzima? Hana akili ya kujua boksa haivaliwi wiki nzima?
Hatukatai Mke yeye anasaidia ila usafi ni tabia, kama mwanaume mchafu mchafu tu, tena wanaume wengine usikute wanatumia hadi ubabe kwa wake zao ili wasilazimishwe kuoga