Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.
Wewe unajiuza?
Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
Daaaa usafi ni afyaaa!
Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
Mjinga mwenyewe na tena ukome, amekuita nani?, au nawe ndo walewale wa kibeberubeberu?
Mfyuuuuuuuuuuuuuu.........!!!!!!!
Umesema kweli mke wa ujana wangu. Kweli kabisaaa!
Ila amin amin nakuambia, una heri wewe uliyekutana na mwanaume anayenuka. Ukikutana na mwanamke anayenuka afu usipate Typhoid, rudi ukatambike kabla Yesu hajarudi.
Na hili ndilo neno la mmeo ODM.
Hajamaanisha wanaume wote wenye masters ila anamaanisha wanaume wote wachafu, na akatolea mfano mwanaume aliyekaa nae karibu kwenye kikao ana masters lakini anatoa uvundo. Kwakweli hata mimi huwa inanikera sana, huwa ninakiofisi hapa unashangaa mwanaume anaingia anatoa uvundo mpaka hali ya hewa inabadilika ndani watu mnaanza kutoa chafya aircondition haitoshi unatamani ufungue mlango hewa ya ndani itoke na iingie ya nje.Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.
Wewe unajiuza?
Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
Mtu yeyote yule kunuka ni kero, awe jirani, rafiki au mwenza. Hivi kwa nini mtu anarudia nguo lakini? Na si kwa wanawake wala wanaume. Jeans inavaliwa hadi basi.
na ukiivua tu naiweka kwa maji! Ukinunua jeans ukaona unaipenda, kesho yake nenda dukani kanunue kumi kama msukuma. Staki uvundo mie, ntaificha ndo ukome!Ukiona jeans inapigwa wiki nzima jua inapendwa hiyo
kwa hiyo mwanaume shurti anuke?
na ukiivua tu naiweka kwa maji! Ukinunua jeans ukaona unaipenda, kesho yake nenda dukani kanunue kumi kama msukuma. Staki uvundo mie, ntaificha ndo ukome!
Nilikutana na mwanamke anaye nuka kufika guest zetu za uswazi kuvua kufuli tu mbu wote walizimia chumba namba 109 jinsi harufu ilivyo kuwa kali.
Wanawake mkiwa humu mnawananga sana wanaume, kuna dada mpangaji mwenzangu huwa anavaa vizuri, ananukia sana marashi mbalimbali na anakazi nzuri kuna siku alikosana na binti wa mtoto wa mwenye nyumba kumbe ndani ni mchafu balaa pedi alizotumia pamoja chupi chafu amerundika ndani, bac hakuonekana wiki nzima kwa aibu.
at least tunukie nguvu kisela..
Nilikutana na mwanamke anaye nuka kufika guest zetu za uswazi kuvua kufuli tu mbu wote walizimia chumba namba 109 jinsi harufu ilivyo kuwa kali.
Hahahaha! Mpwa kumbe bado unagongea Baracuda gesht haush? Vitanda vinacheza sijawahi ona. Ongea na meneja wabadilishe magodoro. Pale ukimpeleka kimbaumbau kama Madame B lazima avunjike mbavu...... Khaaa!
Mwanaume kunukia ni udhalilishaji wa kijinsia