Wanaume mtuheshimu wanawake

Kosa lenu kuwapa kula wale jamaa kila msimu.
 
Kukaa tumboni miezi tisa ni nature, ingewezekana ikawa mwezi mmoja au ikawa kama ilivyokuwa kwa history ya Adam and hawa, usijisifu kwa nature jisifu kwa matendo uyatendayo yakaleta manufaa
Kama nakuelewa hivi Mkuu!!
Good.
 
Kila mtu ana haki ya kuheshimiwa..na heshima yenyewe inatakiwa kuwa two-way traffic,sio mie nikuheshimu then wewe usiniheshimu.
Mimi kwa mtazamo wangu wanaume wengi wanapenda ku underestimate the value and strength of a woman. Ndo maana dharau zinakuwa nyingi bila sababu.
Wanawake tumekuwa watu wa visasi,na wanaume wamekuwa watu wa hasira na kufuata mikumbo..it's crazy yaani.
 
Kukuzaa peke ni Zawadi tosha kwako kwako ningekubana usingetoka

Mama ni mama!
Ahsante kwa kunizaa mama!

Ndiyo maana nakupenda sana!

Kila mwanamke ninayemuona namheshimu sana.

Hakika nyie siyo watu wa kuchukuliwa poa.
 
Mmezidi jeuri ndo mana hamueshimiki eti mnataka kututawala pumbavuuuuuu
 
Waambie.... ipo siku tutagoma kuongeza idadi duniani. Na wakioa miaka inapita hamna mtoto wananunaa kama wameambiwa wanakufa kesho. Lakini humu ni mdomo mdomo tuu.
Naota jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…