Kukuzaa peke ni Zawadi tosha kwako kwako ningekubana usingetokaNyie mnajiheshimu mpaka mpate hiyo heshima kutoka kwetu sisi?
Kubeba mimba miezi 9 siyo sababu tu ya kufanya uheshimiwe.
Kuna vitu vingi tu vya kukufanya upate heshima mbali na hiyo ya kuteseka miezi 9.
Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Imeaandikwa ktk bibilia,. Mwanamke atajifungua kwa uchungu. Na mwanaume atakula kwa jasho.Hivyo tueshimiane sote. kwani hiyo mimba mnayoipata na kukaa nayo na kujifungua mnajipa wenyewe?Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Basi mimba isisababishe tufanye upumbavu mbele ya hawa tunaowabeba kwene matumbo afu tukategemea kuheshimiwa bana mimba sio kigezo cha kuheshimika kama ujajieshimu wewe kwanzaUnadhani mimba inapatikana kiurahisi wewe,watu wanahangaika hata kupata mimba tu,sasa hivi uzazi wa shida mno,mwanamke akiolewa asipobeba mimba ni shiida mpaka anaweza kuachika kisa mimba ,heshim mimba
Hakika. Majukumu ni yetu sote. LAKINI kama mwanamke akisimama kwenye nafasi yake na mwanaume akisimama kwenye nafasi yake hakuna atakaye Mlaumu mwingine.Kinachoongelewa kipo, wenye jinsia ya kike siku izi tumeweuka sanaa, tena mbaya zaidi uweukaji wetu ni almost katika kila idara. . . [emoji117]tunaishi sana ki-movie movie
Wanawake siku izi plan B zimekua nyingi, iyo miezi 9 yenyewe siku izi wengi wetu hatuifikishi so kusemwa lazima
Ila still tuna kama 2% zimebaki ya mazuri tunayofanya katikA ii dunia
Mkuu wapo wanawake wanafikiri kilakitu kinatoka kwa mwanaume ni shida sana hao. Wanafikiri kila kitu wapewe. Sio kweli hao hata ukiwafungulia biashara itakufa kwa sababu hawafikirii kwamba hiyo biashara inatakiwa kukuwa ndipo mambo mengine yafuate.Ebu ngoja niwe msomaji hapa, pengine nikajifunza kitu....[emoji101]
Jambo nalo amini ni kuwa mwanamke humpenda kwa dhati na upendo wa kweli na wa huruma mwanae aliye mzaa tofauti na mwanaume. Na dhana hii ni la asili viumbe wote wa kike hupenda watoto wao.Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Haya lakin nyie mnapenda kunyenyekewa mnoNdo hivyo Dina...ukitaka uheshimiwe basi nawe jiheshimu.
Fanya mambo yatayokujengea na kukuongezea heshima.
Ukifanya kinyume na hapo sahau.
Haya twende tukaogelee...
Tunamchangia tu mpaka asarende mwenyeweAtatuchamba huyooo,halaf ubuyu ulivyo mtamu tutaacha kweli umbea?