Unadhani mimba inapatikana kiurahisi wewe,watu wanahangaika hata kupata mimba tu,sasa hivi uzazi wa shida mno,mwanamke akiolewa asipobeba mimba ni shiida mpaka anaweza kuachika kisa mimba ,heshim mimbaKubeba mimba tu haitoshi uheshimike bana maana ikiwa ivo asokuwa na uwezo huo asingeheshimika? Jiheshimu ujipe credit mwenyewe za kuheshimika!!!!!!! Sio kwamba mimba ndo iwe kigezo
Asalam aleikum Ngabu
Mbona tunajiheshimu sana tu,kwahiyo hamtuheshimu kisa umbea?
mbona kuna wanaume wanapenda umbea wanatuzidi hadi sisi wanawake hao unawazungumziaje,wanaume kutamani wanaune wenzao hao unawazungumziaje ?
Tuhesshimuni bana kwa hali ya juu tena,,hebu patia picha kusingekuwepo totoz mngeishije?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bana tumekusikia na kukupataAleykum salaam bibie.
Siyo hamuheshimiwi kisa umbea. Huo ulikuwa ni mfano wa matendo yanayowapunguzia heshima. Unaelewa maana ya mfano?
Nao ni walewale tu. Jinsia yao haibadilishi chochote. Ukitaka uheshimiwe basi jiheshimu. Hiyo ni kanuni ya maisha bila kujali jinsia, kimo, rangi, nasaba, kipato, na kadhalika.
Jiheshimuni na mtaheshimiwa tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkijiheshimu mtaheshimiwa.
Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?
Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?
Acheni masikhara bana!
Haya bana tumekusikia na kukupata
Ngoja nianze kukuchambaMkijiheshimu mtaheshimiwa.
Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?
Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?
Acheni masikhara bana!
Ngoja nianze kukuchamba
Kichwa kama tofali...Jaribu ukione cha mtema kuni!
Kichwa kama tofali...
Dina njoo unisaidie kumchamba huyu mtuNilidhani utaniambia nina kibamia...sasa kichwa kama tofali hata hainidundishi moyo!
Jaribu tena...
Dina njoo unisaidie kumchamba huyu mtu
Tuanze kuchambana tuone nani mshindi... Haya anzaPeke yako umenishindwa?