Wanaume mtuheshimu wanawake

Nyie mnajiheshimu mpaka mpate hiyo heshima kutoka kwetu sisi?

Kubeba mimba miezi 9 siyo sababu tu ya kufanya uheshimiwe.

Kuna vitu vingi tu vya kukufanya upate heshima mbali na hiyo ya kuteseka miezi 9.
 
Mkibana tu miguu tusitoke tutakufa lakini na wewe uliebana miguu utakufa.

Hata hvyo ni wajibu wa kila mtu kumheshimu mama/mwanamke.

Hakuna asietambua umuhimu wenu, huduma yenu na mchango wenu kwetu sisi wanaume na watu wote.

Shida inakuja pale mnaposhusha heshima yenu mbele ya pesa.

Vinginevyo mimi naheshimu wanawake wote.
 
Na pesa hamtaki kutupa mnawapa kina naniii?
 
Kubeba mimba tu haitoshi uheshimike bana maana ikiwa ivo asokuwa na uwezo huo asingeheshimika? Jiheshimu ujipe credit mwenyewe za kuheshimika!!!!!!! Sio kwamba mimba ndo iwe kigezo
 
Mkijiheshimu mtaheshimiwa.

Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?

Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?

Acheni masikhara bana!
 
Kama mimi navyompenda mwalimu wangu yani mtoto wa watu anaheshima kweli najikusanya nimnunulie boti..
 
Na pesa hamtaki kutupa mnawapa kina naniii?
Pesa tunawatafutia ninyi na tunawapa tatizo ni pale mnataka kutufanya visima vya pesa muwe mnachota tu hata kama visima hvyo vikionyesha dhahiri kipindi cha kiangazi kua vimekauka nyie hamuelewi mnahamia kwenye visima vyenye maji.

Mnatakiwa kujiheshim, mkijiheshimu tu heshima zitamiminika kwenu moja kwa moja wala hamtahitaji kuziomba. Watasha husema respect is earned not given(asked).
 
Asalam aleikum Ngabu
Mbona tunajiheshimu sana tu,kwahiyo hamtuheshimu kisa umbea?mbona kuna wanaume wanapenda umbea wanatuzidi hadi sisi wanawake hao unawazungumziaje,wanaume kutamani wanaune wenzao hao unawazungumziaje ?
Tuhesshimuni bana kwa hali ya juu tena,,hebu patia picha kusingekuwepo totoz mngeishije?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…