Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

Kwakweli wao si wanasimanga single maza ila ukija upande wao wanateteana broken single faza
Mimi pia ex wangu, alikuwa kanizidi 15years yaani kwanza haongelei hilo swala la ndoa, makasiriko yake ya maisha anakuja kunimalizia mimi mh! Nikaona bora nimpe nafasi apate mtu sahihi, ni heri nisubiri kama ntapata wa age yangu
 
Aaah bora afe na utamu wake kuliko hiyo dipresheni.🤣🤣🤣
 
😁😁😁
 
Mimi pia ex wangu, alikuwa kanizidi 15years yaani kwanza haongelei hilo swala la ndoa, makasiriko yake ya maisha anakuja kunimalizia mimi mh! Nikaona bora nimpe nafasi apate mtu sahihi, ni heri nisubiri kama ntapata wa age yangu
Yeah hata huyu japo hatujaanza ku date ila nishaona red flags nyingi yaani hapa alipo kashachanganyikiwa umri umeenda Hakuna cha maana alichokifanya basi kila ukiongea nae yeye ni kulalamika sijui nina stress kichwa kinauma sijui kazi hivi yaani Hakuna ile raha ya kuongea na mtu et mimi sasa nianze kumpa mtu moyo na hapo umri wote huo 34 bado apate drama za baby mama

Kibaya zaidi akipiga simu hujapokea anaanza kukulaumu yaani hakupi ile hamu ya kuongea nae unabaki kusema huyu sio bure ndio maana umemkuta single
 

Ukiskia date nae ndo ujue kwanini ulimkuta single ndo hii sasa
 
Unaonekana wewe unafikira za kuwa ukiolewa basi wewe ukainjoyi tu mdada wewe ukome kabisa hata huyo kijana unaemtaka tafadhari usimsogelee ushindwe na ulegee. Kama unaona mwenzio Hana kazi ya kueleweka na tiyari kashakupenda wewe huoni utaenda kuwa chachu ya mafanikio yake tena ukiwa mshauri mfariji! Mpuuuzi wewe kwanza niombe msamaha nisije nikafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…