No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??