Kwahiyo unataka kusemaje labda? Kwamba mtu yeyote atakayenitumia pesa basi nimpe mzigo si ndiyo?Vipi nikituma Muamala wa M-PESA siku hiyo hiyo uliyonikubalia tongozo langu utaurudisha pia??
Au vepe
Umenifanya ni comment, mi sijui mara ya mwisho kutongoza ni lini, hata majibu siombagi, We as grown man have a trick. sio braah, braah, hata mimi huwa sipendi mtu mwenye stori nyingi nahisi ananipigia kelele, napenda actions.Wanatongozana watoto!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuuuu, eti lile jibu langu vipi??? Kama anaomba kazi!!!!!
😂😂😂Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Uko vizuri mkuu mwisho wa siku alikutunuku mwenyewe au sio?Nikifikiriaga hii incidence huwa sielewagi inawezekanaje, ila viashiria vya kukubaliwa unaviona tu. Ukimwomba kitu mfano mwende sehemu, akusindikize sehemu na excuse zake zinakuwa nadra sana, ujue mwelekeo ni mzuri maana anahitaji muda zaidi na wewe ili akufahamu so, be calm and stay focused.
Asante kwa taarifaNawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Ndiyo maana mnasingiziwa hata mimba na watoto mwanamke anadanga huko anakuketea kumbe shida kujieleza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaribu kutongoza na wewe kama ni virahisi
Kuwa single si sababu yakukubali kimende mende mkuuWanawake ndio huwa hampo serious... Kwasababu haiwezekani uniambie kwamba upo single halafu nakufuata unaanza kunizungunisha....
Mweeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna akina sie ambao kutongoza hatupendi kabisa yaan ni mwendo wa mialiko ya Kutoana out na ofa ndogo ndogo na kukujal kwa sasa as mpenz mpka unajikuta umekuwa mpenz bila kutongozwa....siku ukianza kulia kuwa mbona sikujal au sikupend ndio hapo nakuuliza lini niliwahi sema nakupenda
Njoo umsaidie basi!Huyo jamaa anayekukula akaze kiuno bado nyege hazijaisha vizuri
Haaa haaa ni shida , sasa mkuu mtu mzima kusema nimekubali daa Neno gumu hilo vitoto ndiyo husema hivyo huku vinang'ata vidole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kusema nimekubali na sijakubali sh ngapi? Yaani mtu kukuelewa hadi akulishe chakula au bia/soda?
Ukiwa serious, unatoa jibu sahihi kwa wakati sahihi... Haina haja ya kufichana fichanaKuwa single si sababu yakukubali kimende mende mkuu