Wanaume, mnawezaje kuvumilia wanawake hawa?

Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...🤣

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi🤣
😂😂 Umetisha Sana mkuu dah!
 
Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
Dadeki
 
Hili la story na baba K halina shida. Shida ipo kwa hao wenye mdomo na watu wengine hasa huko social media. Kujirekodi huku wanaimba na kufanya kubetua midomo kama wanakula denda, kurembuea, kupiga vijembe na kupost picha mpaya kila siku.
 
Sipati picha na baba k ndio awe kama babu Iddi (Idris kitaa) hata muda wa kupendana mnakosa muda wote ni kuongea tu 😂
 
Hili la story na baba K halina shida. Shida ipo kwa hao wenye mdomo na watu wengine hasa huko social media. Kujirekodi huku wanaimba na kufanya kubetua midomo kama wanakula denda, kurembuea, kupiga vijembe na kupost picha mpaya kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakuwa kama zuchu
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake wa aina yako sie wanaume wapole ndio tunaowapenda sana. Sio mwanamke ukiongea naye anakwambia hana usemi
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
Umejua kumkomesha mtoa mada[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
Wooooooooozer
 
Back
Top Bottom