Wanaume, mnawezaje kuvumilia wanawake hawa?

Kama sio mke wako anayefanya hayo yote, ni vyema ukafanya mambo yako uwaache wafanye kile kinachowapa furaha
Hapana si mke wangu nilikua nataka kujua nguvu ya kimvumilia mtu kama huyo inatoka wapi siri ni nini, kuna wanawake wanaongea na wanakuwa open yaani ana marafiki kila nyumba mtaani na anamwaga siri zenu zote, usiombe ukamcheat sasa ndio utajua
 
Wanafaa sana hao hasa akiwa mchepuko wako wa kudumu

Kuoa ndo usithubutu sababu akikuchoka utakoma,,mambo Yako utayakuta Instagram

Ila mchepuko ndo huo sasa kijana wangu
 
Wewe ukiwashindwa jua wapo wanaowaweza.Hatufanani.

Ukiona mwanamke mwenye tabia za hivyo jua Mungu atamjalia mwanaume mtulivu Sana asiyemuongeaji, na wataishi vizuri Sana maana Mungu huwa hakosei Kwenye kupatanisha( The law of POLARITY).
[emoji817]
 
Nakuunga mkono ila mtu charming ni tofauti na mtu mwenye makelele, hapa naongelea wale chiriku wanaongea non stop
Makabila mnayooa bro😂 mtu umemtoa uswahilini huko unategemea nini. Sema sio mbaya inakua umefata viuno ila vinakuja na wenzie😂
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
Umeua mkuu
 
Bora kua na mwanamke Muongeaji kuliko kua na mwanamke mkimnya...msiseme hatuja waambia
Sema tena na tena. Mamy K copy this! Mungu akujalie mwongeaji lakini siyo mkimya, ananuna kama amelambishwa kinyesi kila saa. Nyumba inakuwa ina ukiwa kila saa. Kukiwa tena na changamoto ya uchumi ndiyo kabisa. Kuna mama mmoja nilimpenda bure. Mwongeaji, mcheshi, mume hata ukiwa na changamoto ya uchumi huisikii.
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...🤣

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 Yani Mimi Baba K anaogopa nikiwa kimya, siku nikisema ngoja niuigize uwaifu matirio Ile niwe kimya....utamsikia vipi Mamy uko Sawa? Kuna tatizo? Kashakua addicted🤣
Ila hiyo kujipost post hapana siwezi, na yeye ana wivu balaa hataki nijipost....wakija rafiki zake kuangalia mpira naenda chumbani🤣 naongea tukiwa wenyewe wawili tu.
 
sie wapole tunaonekana tunaboa
Mkuu mimi napenda mwanamke mpole mchangamfu sio aliepooza namaanisha uwe mpole Ila uchangamke sio unakua mpole unazubaa zubaa tu mjini hapa, kwa maelezo zaidi tuyaweke sawa fika PM tuyajenge mawili matatu
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...🤣

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi🤣
Kabisaaa mkuu

That’s perfect woman.
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]

[emoji3][emoji3]umejua kunichekesha! Kweli kuishi kwingi kuona mengi!dah
 
Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!

Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]

Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.

Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii nilijua ni peke yangu kumbe tupo wengi
 
Back
Top Bottom