Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 890
Sema wanawake WA IVYO WANAUME zao wanawakaza sana we piga tarumbeta baba kimya chubwi kama JIWE limeingia kwenye tank
😂😂Wataolewa bhanaKuna wale wa Tiktok, huwa najiuliza hawa wataolewa na nani?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Duh! 😄🙌Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!
Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...🤣
Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.
Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi🤣
Mweee kulagha nengaWanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!
Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...🤣
Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.
Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi🤣
siyo kuwa hajitambui lakini wewe ....... boringKwanza mtu muongeaji mara nyingi hawajitambui mtu makini haitaji maneno mengi
Binafsi naweza kumtimua mtu wa hivyo sipendi kelele.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!
Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]
Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.
Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
mbona ni kama ndo hao haoBora awe muongeaji ila sio mjuaji
ni kweli ni mafundi sana ila shida utulivu zeroHao ni jamii ya wanawake wanaotoka kwenye dynasty za mafumu, wasaidizi wa machifu. Huwatishi kwa chochote, starehe ya hawa akupe shoo kimasihara tu ndio raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanatuvumilia hivo hivo, watafanyaje sasa? Afu tunakuaga watamu wanawake wa hivyo, yani hatuboi.
Mfano Baba K akirudi Ile nimempokea mizigo tu naanza kumpa umbea WA majirani, nikiwa namtengea chakula nampa ubuyu wa Jf nani katumbuliwa nani kaachwa...
Ukifika muda wa mpira naangalia nae sebuleni huku tunamsimanga Feisal...!
Ukifika muda wa chakula cha usiku pia mdomo haupoi, mechi nzima ni full kumropokea Baba K unajuaa...[emoji1787]
Tukimaliza hapo naanza kumsaidia kumsengenya bosi wake na majirani wawili watatu halafu tunalala.
Yani nikisafiri siku moja tu nyumba inapoaa, ananambia mke wangu Rudi! we unataka mwanamke kapoa, haongei Ka kakatwa ulimi[emoji1787]
Nakuunga mkono ila mtu charming ni tofauti na mtu mwenye makelele, hapa naongelea wale chiriku wanaongea non stopNa wanawake nao sijui wanavumiliaje kukaa na mwanaume asie communicative. Yaani ye umemkosea hasemi, amechukia hujui, anafuraha hujui, unataka umpe
Story ndani kakukunjia ndita kama jini makata. Kwakweli hapana. Bora mwanaume charming hata akiwa na quiet moments ila kuna mda mnapiga story.
100% ni speakerKwanza mtu muongeaji mara nyingi hawajitambui mtu makini haitaji maneno mengi
Binafsi naweza kumtimua mtu wa hivyo sipendi kelele.
Hao kuna wajinga huingia kichwa kichwaKuna wale wa Tiktok, huwa najiuliza hawa wataolewa na nani?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
UmedanganywaAsilimia kubwa wanaume wanapenda wanawake waliochangamka kama ivo ila sie wapole tunaonekana tunaboa
Kila mtu na choice yake