Wanaume mnataka mgundue nini

Wewe una miaka mingapi kwani, na ilivyo kawaida baba akichepuka tunampongeza na ni sifa kwa familia lakini mama akichepuka ni aibu kwa familia.

Mwache baba ajipigie ngozi changa
 
hapo poa sanaa alafu nikupe kile nilichowaficha wengine kisichoonekana hivyo hovyo ......lakini mpaka ukinifikisha kibiti ndio utapata ...sio usihie mbagara useme umechoka😀😀😀
 
hapo poa sanaa alafu nikupe kile nilichowaficha wengine kisichoonekana hivyo hovyo ......lakini mpaka ukinifikisha kibiti ndio utapata ...sio usihie mbagara useme umechoka😀😀😀
Mmmhhh weee mwenyewe unanijua ,, sasa kukuweka kwa mgongo had I hapo kibiti nishindwe baby ???? Haaaaa wapi ,,hata km ukisema mpaka mtwara ,,nitakupeleka tu mama ,,ili mradi unipe !!!.[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Mkuu,mwache Mzee ale k2 roho inapenda
Nitamletea Mzee wako na hii zawadi hapa chini
 

Nawe umezidi Aise wivu mpaka baba yako, acha ushamba huo aise.
 
Mwanamme Utafiti hauishi unaendelea,ile ladha inayopatikana mule ndani kunauwezekano mule ndani zikawa k zaidi ya moja,ndio maana kautafiti kanaendelea [emoji41]
 
Huoni wanaume mwenzio huko juu wanavyosema mwanaume lazima ubadilishe radha hawa wapo kundi gani nao
Dada mimi ni mwanaume ndio lakini si mwenye tabia kama hizo.
Sifanani kitabia na hao walio comment. My rules are to be gentlemen to the end. No bullshit,no games, no lies.
 
Ckuiz mtu akishakuweka ndani walaa hupambani naee ndoa yenyewe katolikii aaahh...kero ikizd na wewe una kiben10 chako siku zinaendaa..
 
Kukiwa na warembo 100, mwanaume akiambiwa achague mmoja atafanya hivyo. Lakini moyoni itamuuma wale wengine 99
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…