Wanaume mnataka mgundue nini

Labda ni mwanae kwa mke wake wa tatu…maana inawezekana huwafahamu wake wote wa baba yako wa kufikia, usimalize yote bila kuwa na uhakika!
 
Muache baba wa kambo akusanye uzoefu kwa ajili ya mama. Unajua vibinti huwa vinaangalia na senema vinakuja na mapigo mapya mapya.
 
Ni kitu kizuri kwa kweli...

Kama utatuelewa sisi wanaume, huwezi kupata shida na sisi
 
Heeeeee hutaniwi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeee kupendwa Raha ,,toka nipendwe weee nikiboko yao ,,unajua kunipenda mpaka najiogopa mpenzi... nataka jion Leo nikubebe ivi[emoji116] [emoji116] alafu nikuzungushe kuanzia gongo lamboto ...mbagala ,kibiti ,,kinsevule [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo vipi mpenzi ??.
 
wanaume by nature ni watu wa kumiliki mizigo mingi,hii ya man mmoja na mwanamke mmoja ni uzungu tuu ila ukija kwenye rality 95% ya men ni wachepukaji au wamewekeza tamaa zao kwenye ngono
 
Mimi nilikuona ulivyosutuka ila ikabidi ujikaze tu. Nilijaribu kukukonyeza ubane kwangu huku ili nasi time kampani. Hata hivyo hatujachelea. Drop your n. P M tuanze namna ya kuliamsha dude. Karibu.
 
wacha watu wajilie vyao wew mbona una wivu hivyo?
 
Tuanzie kwa mama ,kipi kilimsibu mpaka hakuendelea kuwa na baba yako mzazi.Hata wewe mwenyewe jiulize unataka kugundua nini na list yote hiyo uliyo nayo ya ma-uncle.
 
Kama wote ni 18+ no offence japo kimaadili inaleta ukakasi.

Ukimwi upo na unaua.
 
Smart911 my king yaeza kuwa sawa kwamba anataka mke wa tatu but ili agundue nini!? what's new there kwahuyo wa 2!?!

Alishagundua almasi akaiweka ndani, akagundua dhahabu kaiweka ndani, sasa anataka kugundua makinikia...
 
Hako kabinti, kalikuwa na tukunyema lenye maana au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…