MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,051
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa
Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman