Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,448
3,051
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman
 
Kwani kumbembeleza mwanaume wako ni sh ngapi? Mie tu huwa naweka binduki pembeni, nabembeleza weeeh nabembeleeeza weeh hadi anakoma. Bembeleza bwana, acheni uvivu nyie mabinti.

na bunduki unaweka ili iweje sasa kama mtu hawezi ujue hawezi tu hata kwa mtutu
 
Mh mwanaume ni kama mtoto, mbembeleze, mpetipeti,muweke kifuani apate joto lako huku unamuambia maneno laini ya kimahaba, mlee kama unavyomlea mtoto

"no matter how great or respected a man is he is still a baby to the woman he loves"

Kama hutaki kumbembeleza wapo watakao kusaidia

Usije tu kutuanzishia thread Hata, eti ooh anatoka njee

The earlie u understand this the better
 
Tubembelezane...
Mie mwenyewe napenda kubembelezwa na kudekezwa...
Ntakubembembeleza na kukudekeza huku nikitegemea kubembelezwa na kudekezwa pia.
Mkienda hivyo mambo swafi...
 
seriously????.......
 
Tubembelezane...
Mie mwenyewe napenda kubembelezwa na kudekezwa...
Ntakubembembeleza na kukudekeza huku nikitegemea kubembelezwa na kudekezwa pia.
Mkienda hivyo mambo swafi...

kama mtakuwa mnabalance mambo yataenda ila kama ni kwa upande mmoja mnachosha
 
Kwani kumbembeleza mwanaume wako ni sh ngapi? Mie tu huwa naweka binduki pembeni, nabembeleza weeeh nabembeleeeza weeh hadi anakoma. Bembeleza bwana, acheni uvivu nyie mabinti.

wakiona

usd

tshs

euroz and pounds ndio wanabembeleza!!
 
Bado hujapenda MankaM utabembeleza mpaka ujiulize hivi huyu kweli ni mimi au?

Eti eee bas training inahitajika
maana wenyew wanasema ukimbembeleza sana mwanamke analeta mashauzi eti atajisikia sana ila wao ndio wabembelezwe sasa niki kifanyike hapo
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom