Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
- Thread starter
- #321
Kama ungekua Anna makinda upande wa pili ungesikia majibu yao,,,NDIYOOOOOO
Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ungekua Anna makinda upande wa pili ungesikia majibu yao,,,NDIYOOOOOO
Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe sio watamu?!Unajua wanawake wanajionaga watamu sana ila basi tu ngoja nikaushe
Sent using Jamii Forums mobile app
Soccer mkuuUnamaanisha Mpira wa kiume au?
Kuangalia mpira ukiwa nyumbani ni sawa na kununua Nyama halafu ukaenda kuchoma mshikaki nyumbani. Hahahaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app

Mmmmh
Hapo chaachaTena muongo haswa
Kama mpira tam kuliko papuchi mbona hua wanazililia na kuzipigania kwa sana tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushakuwa teja wa soccerDaaa yani nikikosa kuangalia mechi ya timu huwa najihisi mnyongeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Siachi sasaMpira ni passion,unaleta msisimko wa kipekee,kusubiri dk90 kuna ugumu gani?wiki nzima tupo ote hzo dk90 za mpira zinakuuma,acha hzo
Sent using Jamii Forums mobile app

Ukoje?!
Basi mtuache wanawake muendelee na mpira wenuUnatuambiaje tubadilike kabla tujakupa majibu ya swali lako!? Jibu likiwa mpira ni mtamu kuliko mwanamke inakuaje nibadilike sasa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu wa mwanamke mpira ni kama pipi na pilau ila kila kimoja kina ladha yakeKumbe sio watamu?!
Pipi ndio mpiraUtamu wa mwanamke mpira ni kama pipi na pilau ila kila kimoja kina ladha yake
Sent using Jamii Forums mobile app

Mmh pole mweeKma ikitokea tukifungwa yani ndio nakosa hamu ya kula mzigo kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app

Chagua mwenyewe aiseeUtamu wa mwanamke mpira ni kama pipi na pilau ila kila kimoja kina ladha yake
Sent using Jamii Forums mobile app