Dawa ni kuwapuuza tuu,,, tuwapeleke tutakavyo....Yan hawaeleweki kama mvua za dsm
Hahahaaaa!! Yaani nimejikuta nacheka tu.njemba azielewi....shambulia sana topic lakn ikifika jion utawakuta wamejazana kwny mchuz wa pweza na ngisi km wanaomba kaz
Kinachonifanya nipende zaid JF ni vituko kama hivi. Mnanifurahisha sana wakuu.Unatoa ushirikiano? isijekua kila unapoguswa hutaki ukigeuzwa Hivi hutaki!
Maana warembo wengine wanaboa kishenzi ukipeleka mkono utasikia aah usishike huko
ukimkunja hivi utasikia aah! nnamshono ok geuka hivi utasikia hivyo siitaki sijazoea sasa unatakaje jiachie uone kazi
utaipenda tu ukinyooka kama mende nami nanyooka dakika sifuri nasepa naenda kunyoosha mbavu mbele huo kwa wasio kua wavivu
Nafikiri msamaha kwa wanawake tena kwa maandish unakuhusu. How dare talking like that jamanMwanamke ni kiumbe dhaifa na ndio maana kila analowaza ni dhaifu tuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]inategemea na shamba lenyewe.. mashamba mengine hayana unadhifu unaopelekea shida hii kwetu
We unajua kukata kiunoJamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri, khaaa! Stukeni jamani.
wew cheka tu lkn watu wana diet zao special for gemHahahaaaa!! Yaani nimejikuta nacheka tu.
Kweli lakini ndio mana mimi hua kama nachinja mtu hua sina hurumaJamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri, khaaa! Stukeni jamani.
Hahaaa kweli umepinda nimekupenda bureunadhani mamilioni ya watu waliokufa wote wamekufa kwa kansa ya koo,let me die na nani alikwambia kama kufa ni kitu kibaya.
mtamu sasha kuna watu wanajifanya kuna vitu wanaviogopa lakini kiukweli kumbe kuna wanavyovifanya wao ukivijua utasikitika.Hahaaa kweli umepinda nimekupenda bure
Hahaaa n kweli mkuu wanajifanya innocent mbele ya watu kumbe ndani mmmhmtamu sasha kuna watu wanajifanya kuna vitu wanaviogopa lakini kiukweli kumbe kuna wanavyovifanya wao ukivijua utasikitika.
Nukhsi hao,ila nasikia raha kumwona mgirl anavyotaka kunyofoa godoro pindi akiusikilia mnyonyo.habari za asubuhi sasha.Hahaaa n kweli mkuu wanajifanya innocent mbele ya watu kumbe ndani mmmh
We unataka dk ngapi? Maana dk za kitaalamu ni 9-15, otherwise hiyo 'K' ni jipu pia!!!