wanaume tafadhali naombeni mawazo yenu ili nimsaidie mdogo wangu ushauri,hili mana mnaweza kuwa na mawazo ambayo ya ukweli mwingi zaidi,
Hivi kweli ukiwa umekaa katika uhysiano kwa miaka 6 without a legal marriage, na kubahatika kupata mtoto, lakini kila unapomweleza mwenzako kuhusu kufunga ndoa mana nyie ni wakristo makae katika mazangira ya imani yenu, anakuwa mkali na kuanza kuongelea makosa ya nyuma,na kila mkikoseana hata jambo dogo ni inakuwa
ugomvi mkubwa na kukwambia paki uondoke. siku ukiwa mmekaa kwa amani unajaribu kumwambia unaona hana future na wewe ni bora muachane anasema umepata wanaume wanakupa kiburi, hapo wanaume mnalionaje hilo?