Vitu tunavyovifanya wanaume ambavyo wanawake hawawezi elewa kwanini tunavifanya

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
baadhi ya vitu ambavyo wanaume wengi tunavifanya automatically na wanawake huwa hawaelewi kwanini tunafanya.

Unaweza ukaongezea kwenye hii list inayofuata:

1. Kwenda kwenye Matukio ya Michezo kwa Gharama zozote
Mfano: kuna wengine wanakaa mikoani lakini wanakuja town kuangalia mechi either simba au yanga

2. Kuongelea mipango ya biashara na projects bar au clubs
Kudiscuss vitu vya maana huku mnaangalia boobs

3. Kuitana Majina ya kijinga/kipumbavu
Unauliziwa na jamaa wako wa karibu “huyu boya yuko wapi”... ila kiukweli anakuheshimu na kukuthamini sana

3. Kuwa muoga na stress ukiwa unaumwa
Kingine kinacholetaga mawazo ni “nikiwa kitandani mambo yangu yataenda vipi?”

4. Kumtafuta Mwanamke kwa nguvu na kumuacha ukishamla
Unatumia effort kubwa unagharamia ukishakua tunda unambwaga(hit and run)

5. Kutotuma sms nyingi wala kupiga simu kibao kibao

6. Kutokumbuka majina ya marafiki wa mpenzi wako

Kuna wale marafiki ambao mpenzi wako alikutambulisha huku ukiwa unawaza mambo yako mengine muhimu zaid... umesahau majina yao

7. Kutokuongea na wazazi kwa simu constantly
Wanaume hatutumii masaa kuongea na wazazi wetu kwa simu kuulizia jirani wa nyumbani anaendeleaje ...

8. Sometimes kutamani kuskip fore play
fore play ni muhimu ila sometimes unakuta unataka uweke dushe penye utamu

9. Kuangalia Match kwa Masaa bila kuchoka

10. Kutokuwekea uzito mavazi kwenye event muhimu
Sehemu kama party, dinner, mkutano au tukio lolote unavaa suit au your best shirt imeisha hiyo unlike jinsia nyingine mpaka wavunje makabati

11. Kusahau Birthday dates ya kwako/watoto au hata anniversary
Tatizo hili ni tatizo sugu almost kwa wanaume wote

12. Kupenda Motor vehicles (Gari/piki piki)& Gadgets kuliko vitu vingine vyote
Hapa ndio kuna mapenzi ya dhati kati ya kifaa na mmiliki wake... Gari na dereva au boda boda na mwendesha boda na mashine tofauti tofauti za electronics

Mzee wetu ni mmoja... Adam

Wanawake pia mnakaribishwa kusema vitu ambavyo unaonaga havina point(kwa upande wako) ila jamaa ana ng’ang’ania tu😅
 
Back
Top Bottom