Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,654
Dhamana mtoleeš¹Please, namuombea msamaha, usimdhuru mwache aende zake.

Tuma account namba au namba ya simu.Dhamana mtoleeš¹
š¹š¹š¹Tuma account namba au namba ya simu.
Kila jambo lina sababu zake, na si kila tukio lina uhusiano wa moja kwa moja na jingine.Tangu dunia ya Adam hadi hii ya Putin watu wanakulana na uzinzi hufanywa kila sekunde na mvua hunyesha, na wakati mwingine hugoma tu.
Mwaka jana mvua ilinyesha za kutosha. Je watu hawakufanya uzinzi sio?
SweetyCandy nipo hapa Dodoma hotel, naweza kukuona usiku huu, nina upwiru kinoma?Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Nenda ukirudi njoo utuletee mrejeshoSijaelewa kabisa!.
Au mpaka niende VETA?
Pumboor likijaa wanahangaikaUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Kuna ntu katekwa huko au kuna nzi kafia kwenye kidondaUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Safi, kama uko hivyoUmepatia.
Mimi binafsi siwezi kulala na mwanamke asiye mpenzi wangu na lazima tuwe na muda anifahamu nami nimfahamu na wote tuwe tunahitajiana
ni jambo la maana na muhimu sana kwa mwanaume kamili kujiamini, kua smart, focused na jasiri katika mambo ya maana na ya msingi kimaendeleo,Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
EtiiHata mim huu ujasiri huwa siuelewi
Tate Mkuu unaona sasa naitwa dodoma kisa hunipi vizuri oho nitaendaSweetyCandy nipo hapa Dodoma hotel, naweza kukuona usiku huu, nina upwiru kinoma?
Tuonane basi, njoo huku inboxTate Mkuu unaona sasa naitwa dodoma kisa hunipi vizuri oho nitaenda