Wanaume mnaboa

Wanaume mnaboa

yani hadi najiulizaga wanawake wasingekua kama walivo sijui wangepost kitu gani jamani. kama mtu huna la maana la kuandika ni bora usome tu kimya kimya. hahahaha..
 
Kuna katabia kamezuka sana umu mmu...baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basii uamua kupost vitu vya kutupondea wanawake ................ivi mnazani maneno yenu ni sheria kwetu????.......embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Hawawezi ishi bila wanawake ndio maana kila siku wanawawaza na kutuma thread kibao. Na hawawezi handle minor issues kwa kuwa wengi hawana vifua vya uvumilivu. So waache wapunguze stress otherwise suicide cases zitakuwa nyingi.
 
Heheheeeeeeeee aya bib nmekuskia
 
yani hadi najiulizaga wanawake wasingekua kama walivo sijui wangepost kitu gani jamani. kama mtu huna la maana la kuandika ni bora usome tu kimya kimya. hahahaha..

Yan wamezd sk haipit bila kupost kitu cha kuhus mwanamke
 
Back
Top Bottom