Wanaume mnaboa

Wanaume mnaboa

Then unachomind nn kama haikugusi au kama hufanyi hayo yanayopondwa Y is so big deal to u then?

Ivi kumbe nliku pm kukwambia nmemaind???? In short Naandika nachojiskia....kwan ww kimekuuma nn mbona wamwaga povu apa
 
Ingekua amna umuhm ucnge jib

Mbona unakuwa mgumu kuelewa vitu vidogo kama hivi, sijasema sikuona umuhimu wa kujibu, ila nimesema sikuona umuhimu wa kujibu kwa muda muafa ulio ni-quote, wewe ume-quote saa 9 mchana mie nimekujibu saa 6 usiku hapo hauoni tu kwamba ulichokiandika hakikua na umuhimu kwangu.

Hata hivyo nilikujibu ili kupunguza msongamano wa notifications.
 
Kuna katabia kamezuka sana umu MMU.

Baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basi huamua kupost vitu vya kutupondea wanawake.

Hivi mnadhani maneno yenu ni sheria kwetu?.

Embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Gud…!!!! Wanaboa sanaaaa
 
Kuna katabia kamezuka sana umu MMU.

Baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basi huamua kupost vitu vya kutupondea wanawake.

Hivi mnadhani maneno yenu ni sheria kwetu?.

Embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Nimekusikia tumboo tudogo tudogo...
 
Wewe tumboo mtafute rafiki yako tukum.a amekumiss sana
 
Kuna katabia kamezuka sana umu MMU.

Baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basi huamua kupost vitu vya kutupondea wanawake.

Hivi mnadhani maneno yenu ni sheria kwetu?.

Embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Mnapoambiwa ukwel eti mnapondwa....
Shida yenu kuukubali ukwel ni ngumu sanaaaaaa....
Usitake niamini usemi unaosemwa na wengi kwamba ili umpate mwanamke yeyote usimwambie ukwel daaah....
Pole sanaaaa mkuu @tumboo
 
We unazan kuna ukwel gan apa ????.
 
Kuna katabia kamezuka sana umu MMU.

Baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basi huamua kupost vitu vya kutupondea wanawake.
j
Hivi mnadhani maneno yenu ni sheria kwetu?.

Embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah
Halafu na wewe hapa si ndo umetuponda.? kwa hiyo huu mpondo wako unadhani ndo sheria kwetu...? umemwaga mboga ngojatumwage ugali sasa
 
Back
Top Bottom