Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,390
- 11,890
Wanawake tunahitaji mabadiliko.......:behindsofa:
Jiwe gizani puuuuuuuu...
Unawaongelea wanaume wa DAR.
Inawezekana kweli vyakula vya kisasa ikawa tatizo lakini mi najiuliza, kwa nini hivi vyakula vya kileo viwaathiri wanaume tu? Au bayolojia hapo inasemaje? Inawezekana pia changamoto za maisha ya siku hizi zinachangia kwa kiasi fulani. Hata hivyo na nyie wanawake tupeni sapoti ya kutuninihii mnapoona hiyo hali siyo kulaumulaumu tuuu
Sure haya matatizo saiz yamezidi na suala c mazoezi ndo humfanya mtu kuwa active ila pia vyakula tunavyokula ni vyanzo vya matatizo ila pia msongo wa mawazo sometimes wanawake mnasababisha msongo
Mmh mtatuua sasa tutafute hela,mzitumie bila huruma,tupigane na foleni na nyie tuwaridhishe na tusipo waridhisha mtunange "the world is not fair"
Hahahaaa umeongea kwa huruma maskini!! Ndio uanaume huo sasa you have no choice, tafuta tu mtu mtakaeendana mpunguziane machungu.
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!