Wanaume mna nini na simu zenu?

hata kama we ni kipenzi changu ndo ushike simu yangu??..
 
mnaitaji kututawala nyambaaahhhjhhffff
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
yani wakati ananinyongorota nikawa nataka kujitetea kwa kukimbia lakini ilishindikana kukimbia ikabidi tuu nimpe simu yake na sikufanikiwa hata kufanya nilichotaka kufanya kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuchungulia kwenye call logs nikaona namba yangu hata hajaisavu...shikamoo mwanaume aiseeeee
 
Labda ana msg za kuuza sembe je?wanawake hua hamuwezi kutunza sili.kweni we umefikili nini?michepuko tu siyo?wanaume tunahangaika kutafuta maisha kwa njia nyingi
 
Labda ana msg za kuuza sembe je?wanawake hua hamuwezi kutunza sili.kweni we umefikili nini?michepuko tu siyo?wanaume tunahangaika kutafuta maisha kwa njia nyingi
siri gani za maana....hao wanawake ndo siri mnajua siri kweli yani wanawake wenzetu ndo siri zenu
 
Wee ulitaka kusepa nayo.

Na nilishakwambia ongekua mimi ningekupigia yowe la mwizi

Nachojua mimi sasa hivi tungekua tunacheza karata kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…