Kuna tofauti kati ya kushika na kutumia, vyote vinahitaji umakini!kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
Asante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee[emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuna tofauti kati ya kushika na kutumia, vyote vinahitaji umakini!
Simu ya mpenzi wako siyo mpenzi wako, inabidi kama unahitaji kutumia simu ya mpenz wako umuombe na siyo kutumia ubabe, naamini hata yeye hawezi kukosa busara na kuchukua simu yako na kuanza kuibofya bofya pasipo idhini yako..!
Simu hizi zina mengi, zinahifadhi mengi!
Unaweza kumharibia hata mwenzio kazi ukakosa ugali! Jifunze kitu hapo...
.Weka salio kwenye simu yako, simu ya mpenzi wako haikuhusu harafu siku nyingne uombe ruhusa ya kupewa simu sio kukurupuka tu.
Ungeona kilichomo si mngeachana hapo hapo.
mkuu sikua na hilo wazo yani ndo niliona saiv nitalifanyia kazi...Kwa nini hukuomba akupunguzie vocha?
Sasa tutaishije Bila kuaminiana.
Polesana usiludie kushika simu yake.
Risasi kisa simu yako nini unachofichaSimu yangu wewe ya nin siku nyengne nakumiminia risasi.
Namuonea huruma mke wa kaka kama mambo ndio hayakwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
Njoo nkubembelezeValentine naiona chungu
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
Hiyo co cm ya msibanhabari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
YaaaniNi bora umchezee Sharubu na vingine vyotee .lakini sio simu zao. Unaweza tolewa hata roho yako huku unajiona. kisa cm
Pole mkuu, lakini ndio hivyo ujifunze hapo siku nyingine omba au jaza vocha ya kutosha kwenye simu yako ununue kifurushi cha mwezi, au hata ukiishiwa kopa, wanaume wengi hawapendi pale mwanamke anapojaribu kuonyesha ubabe!Asante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hafu ujue hapa unaongea na wanaume??habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
UmenenaKuna tofauti kati ya kushika na kutumia, vyote vinahitaji umakini!
Simu ya mpenzi wako siyo mpenzi wako, inabidi kama unahitaji kutumia simu ya mpenz wako umuombe na siyo kutumia ubabe, naamini hata yeye hawezi kukosa busara na kuchukua simu yako na kuanza kuibofya bofya pasipo idhini yako..!
Simu hizi zina mengi, zinahifadhi mengi!
Unaweza kumharibia hata mwenzio kazi ukakosa ugali! Jifunze kitu hapo...