Wanaume mna nini na simu zenu?

Ndio nyie mkilala simu iko kwenye kaptura na mkioga mnaingia nazo hadi bafuni mana sio kwa kauli hizo.
 
mademu vihere here sana... sasa we umekosa option zote mpaka ushike simu yangu... kama ni mimi ndo mwisho wa mahusiano... kimbele mbele tu!!!!!
 
Alijua unapiga ofisi ya mkuu wa mkoa,si unajua kipindi chenyewe hiki...
 
Na usitake kua zaidi maana utalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…