Wanaume mna laana

nancy nitamletea episode mpya ya 100 tutaangalia wote humo chumbani mwake
 

Kama kawaida yako unawajumuisha walokuwemo na wasokuwemo.Miss "GENERALIZATION". Aisee ni shida sana
 
Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.

Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
Sasa kama Mumeo alifariki na wewe kisheria uko huru kuolewa tena, kwanini usiolewe ili utulie na Mume mmoja? Au kufariki kwa Mumeo ndiyo imekuwa ruksa kwako kuruka ruka na wanaume hovyo hovyo??

Na huyo binti yako kama kweli alikuwa hataki kufanya kamchezo kachafu na baba yake mdogo, kwanini hakukuambia alipoanza kutongozwa??
Inawezekana vipi mtoto asi-save jina la baba yake mdogo kwenye simu yake na awe anawasiliana naye kwa kujificha ficha??

Kama unayoyaandika siyo "chai", basi hakika wewe mama "Nancy" unahitaji maombi kweli kweli. Nikuambie kitu kritika ,mrudie YESU KRISTO, na atakuweka huru na vifungo vyote hivyo.
 
Kumbuka unadaiwa pesa ya gari na Nancy anajua
 
Shemeji yako huyo... Na bila shaka yupo humu na ameshapata ujumbe wake... Umeshapanic Hivyo umemkosa...
 
Mkuu huyu Kritika kuna moja ya bandiko nilichangia nikasema anahitaji msaada wa kisaikolojia ili aondokane na stress.Huhitaji kukutana na mtu umjue kama ana stress,hata chatting hizi na comments huwa zinatupa viashiria flani vya kwamba mambo hayaendi sawa.Kama kuna dokta au mwanasaikolojia ajitokeze ampe usaidizi huyu mwanadada. Vinginevyo ataishia kila siku kufanya "UJUMUISHAJI WA MATENDO YA AJABU KATIKA JINSIA YA KIUME" sisi wengine tunajiheshimu na mambo ya kijinga hatuna
 
Mtoto huiga kwa mamaye kama wewe ni mchepukaji kwann yeye asitoe uroda
 
Alafu unalana mwenyewe dada kabla sijasahau.

Inaonekana huna adabu mtoto anamiaka 17 tayari umemruhusu kumiliki simu?.
Hatahivyo kila laheri katika mtegowako.
 
Maskini..! Waambie basi watumie Kondom halafu wamfanye polepole
 
haha hahaa hahaa Palantir
baba mdogo njoo huku
kila mwezi huwa kuna kamwezi mchanga kanajitokeza JF amini hilo!..
Eti ukamtindue malinda shem/mdogo wako kisa kamtaka mtoto wako!.
Ila hearly angalia mzee, kasije kuwa kale katoto wyt kamekuchoma bimkubwa wake kaileta kama bamdogo ili akupeleke maboya upoteze bk.😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…