Ukiingia humu kama wewe ni mgeni unashindwa kutofautisha nani mtoto nani mwanaume nani mwanamke maana wanaume wanashadadia mambo ya kike sana na tungekuwa tunaonana mngekuwa mnasutwa kila siku.
Mwanamke anaweza kuazisha uzi wenye mlengo wa kike na kaumbea ka kike lakini wanaume wanavyotupia comment unabaki unashangaa
Mwanaume umegombana na kamchepuko kako huko unakuja kutuambia ili tulie au tukuone unajua kutongoza ili tukusifie, halafu hayo masuala ya kujiproud ooh mara nilikuwa ofsini mara nadrive gari niko safarini kikazi.
Hayatuhusu sisi it is your personal issue wakati mwingine unajiuliza hivi wale vijana ambao hawana kazi hawaingii humu maana humu kila mtu ana ofsi ana nyumba anadrive.
Lingine mjue ile tabia ya kutongoza tongoza pm ni ushamba maana utatongoza vipi mtu humjui si bora umuombe mkutane umthaminishe ndo umtongoze, jaribuni kuleta mada ambazo zina kichwa na miguu na zenye kujenga na mjaribu kujitofautisha na ke.