Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?


Kwahyo tukupe hongera au?
 
Kama huna pesa....hata upige mzigo kama kuli wa Kariakoo....nitachomoka tu

Rais wa wabeba maboksi nikose pesa?

Hapa ni mwendo wa dola na yuro tu.

Nakwambia wewe ndo tushapinga hivyo huchomoki ng'o.

Fanya maandalizi tu.
 
Ukute midume kweli na walikua wanakufikiria tofauti kama ulivyowafikiria.

Nngaaaaa!! unasamaje?? wanifikirie tofauti? kuhusu nini. wambie wataujua vizuri mzizi unaoitwa kanyakombe. hayo mambo yao yakifikiria tofouti yaishie huko dar lakn siyo huku shy.
 
Bora wa kupotea mwezi mzima.
Mtu kajiunga ana mwaka, post zake mbili anakuja pm, Hi!
Unajua tu hapa Mwanaume yupo kazini.

Halafu sasa usiombe mpeane namba afu mjikute wote mko Whatsapp....utakoma.
Maana watataka mpaka picha tunazooga tuwatumie....haaaaaa
 
Tuweke na dedline... Ikipita basi tutaandikia tu mate maana wino utakua umeganda na kukauka kabisa.

Aah mstari mfu wala hauna shida kabisa.

Naanza na Madame B namvuruga halafu unafata wewe.
 
Last edited by a moderator:
Hahah...

Halafu watu kama hawa wakishaonja warembo wa hapa ndio huwatoi nakwambia...

Bora aendelee kuwa muoga hivi hivi asije akaishia kuandikwa kwenye masredi ya kina silent killer...

Unafikiri atakuja kwa ID hiyo shem.....thubutu yake
 
Nngaaaaa!! unasamaje?? wanifikirie tofauti? kuhusu nini. wambie wataujua vizuri mzizi unaoitwa kanyakombe. hayo mambo yao yakifikiria tofouti yaishie huko dar lakn siyo huku shy.

Sasa kama yaishie Dar mbona wewe wa Shinyanka uliwafikiria tofauti??
Ulifikiria ni midume na wao walifikiria wewe ni mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…