Hapa JF kuna raia wao hata hawashindi huku jukwaani...
Anachofanya ni kufungua ID mpya halafu anaenda kuzeveza wachuchu huko PM akijifanya ni memba maarufu kama wewe hivi...
Kwa hiyo huko PM mchuchu anakuwa anajua anachat na tajiri wa kisukuma Shy land kumbe ni mla vumbi mwingine tu...
....Plus na ule uchumvichumvi basi balaaa.
Ila wanaume mnavumilia mengi....hebu mie
Hahaha....kwa hiyo unataka ufundishwe nini mkuu kama kukamata tetere unaweza?
Mie niko poa shem.
Kwahiyo mtu anaweza jifanya maarufu wa humu na akamega mzigo?
Nyie wanaume nyie....haahahahahh
Hadi hii leo wametafunwa wagap? ambao unawajua kwa idadi? labda itanitia moyo na mimi nitafune hata mmoja?.
Ntuzu njoo unikalimanie hili tusi...kasemaje etiii?
Hapa JF kuna raia wao hata hawashindi huku jukwaani...
Anachofanya ni kufungua ID mpya halafu anaenda kuzeveza wachuchu huko PM akijifanya ni memba maarufu kama wewe hivi...
Kwa hiyo huko PM mchuchu anakuwa anajua anachat na tajiri wa kisukuma Shy land kumbe ni mla vumbi mwingine tu...
Mkuu hata ukitembelea nyota ya mtu maarufu humu..kama we nyota yako ni kama ya dokta love(pimbi) hautoki..shyland uenda ana nyota ya pimbi
Kweli limuvi lilikupita besti. Na ilivyo ndefu mapeji na mapeji.
Bora wa kupotea mwezi mzima.Afu kuna thread ishawahi kuletwa hapa....yaani kuna watu hawaonekani jukwaani mwezi mzima,lakini yuko online.....ila sasa Pm ndo jukwaa lake....hahahahaa.....uwiiiiiii!!!!
We hutaki kukunwa shingo ya uzazi?
Sitaki naogopa makucha yako marefu,usijeniparua bure...
Uvumilivu ndo sifa ya kiume.
Na ndo tushapinga hivyo huchomoki nakuapia.
Hajakutukana...
Amesema wewe binti wangu una nini sasa?
Umeandika ukweli mtupu!!! washawahi kunipm kama watatu nikawapoteza nikafikiri nimidume inataka kunizingua akili?? KUMBEEE.
nashukuru Watu8 kunifumbua macho nalifanyia kazi kuanzia leo.
Ashukuriwe Mungu...
Kuna mzigo ulishushwa na lara 1 humu...
Unaelezea kidume mmoja anavyotumia mbinu mbalimbali kula papuchi...
Mbinu mojawapo ndio hiyo kujipa jina linalovuma...
Mwanaume akiamua hashindwi atii...
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume walifanikiwa kupata wapenzi au michepuko humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? yakujiamini kiasi hicho, nasema hivyo kwa sababu ukijaribu kufatilia michango na maoni ya watu kuhusu maswala ya kimapenzi, kiuchumi na kielimu utabaini ya kwamba kila mtu JF yuko vizuri sana katka nyaja zote hizo.
mfano; Mapenzi kila mwanaume ni fundi wa kugegeda tena mwenye uwezo wakumaliza dak. 60 kwa mbao moja, ukiachana na hivyo wanajisifu wanajua sana mapenzi na taaratibu ya kumuweka sawa mwanamke ili umegegede afurahie tendo.
hapo juu ni mfano moja wapo tu, ya majifuno na masifa wanayojipa wanaume wa JF ukiachana na habari za kila mwanaume wa JF Isipokuwa mimi, wote waliobaki wamesoma hadi chuo, na maisha yao kwa sasa yako DAR.
Bwebwe zote hizo ndio zimenifanya leo niwaulize nyie wanaume muliopata wapenzi humu kwamba muliwezaje? maana mimi naona kama sina vingezo kwa sababu elimu yangu ni darasa la saba kugegeda natumia dak 5 hadi 8 kufunga mbao na sijui kuada
Angekua anaweza si angeshakamata mmoja akapata jibu la swali lake???
Unadanganyika? Mtoeni uoga Msukuma huyo.
Heheheeeeee
Nataka sitaki wewe....